joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kuna kipindi nilikiwa na piga tempo na wazee fulani, ndipo nilijua vitu vingi sana. Yaani mpaka unashangaa mzee mzima anakwambia anaccount ya siri mke wala watoto wake hawajui, yaani acheni tuu hivi vitu,kuna wengine hela zao wameweka UTT,unajua kabusa huko home hakufai.Kweli, maisha yana mengi
Kuna wazee nyumbani wanaingia saa sita usiku kutoka wanatoka saa kumi na mbili.Hapo ndipo unajiuliza analala masaa mangapi.Kuna wazee sehemu ya kupata faraja ni bar na marafiki, kuna wale wengine ambao bado wana hofu na Mungu wao sehemu yao inayo wapa faraja ofisini, ofisini anaingia saa moja kutoka saa nne usiku.