Ukishajiunga na JF tayari unakuwa na sifa hizi

Sasa mtu ambae hana exposure yamambo anawezaje kujiunga jf, fanya tafiti hapo mtaani kwako niwangap wanaijua jf nakuitumia ndo utajua jf sio yakila mtu kama fb
Kwel kabisa kuna dogo mmoja ndie alie nifahamisha jf yule jamaa anayo pesa, tena pesa za kutisha kweli mpaka leo sijui hata id yake, tupo wa kawaida ila vipanga wa hatari wapo pia.
 
Sifa za mwanaJF

1. Wote humu ni wasomi. Graduates wa UDSM, SUA na MUHAS ni wengi zaidi.

2. Kila mtu humu ni kipanga. Wote tulifanya vizuri shuleni. Kila mtu ana A ya Physics hata kama aliamua kusoma HKL.

3. MwanaJF ni mtu mwenye hela. Mishahara na biashara kubwa.

4. Hakuna mwenye tatizo la nguvu za kiume. Afya ziko imara.

5. Hakuna mwanaJF ambaye hajawahi kusafiri nchi za nje. Airports kubwa kubwa zote tumefika.

6. Hakuna aliye tayari kuoa single mother.

7. Wote tuna upeo mkubwa kwenye mambo ya siasa.
Umesahau...
8.Tunaishi Masaki, Mikocheni, Oysterbay, Mwbeni, Msasani penisula au Upanga....
9.Tuna nyumba na geti kubwa...
10.Tuna magari ya mke, watoto, na hausboy kwenda shambani huko Kigamboni au Bagamoyo....
 
loader.png
 
Ngoja nijisemee kwa upande wangu, 1 mimi sijasoma 2 nina kipato cha kawaida sana 3nimejenga nyumba ya kawaida na gari ya kawaida 4niliwahi kuwa na mwanamke msomi tukabahatika watoto wawili kwa sasa ni muumini wa kataa Ndoa 5 sijawahi kusafiri kwenda nje ya nchi kwa ndege. Ila nimewahi kupanda ndege kutoka songwe kwenda dar es Salaam, nimefika nchi ya Malawi na Zambia kwa usafiri wa pikipiki
 
Jf ina watu smart sana, Ni kwasababu jf ya sasa hakuna mada nzito nzito za kuwafanya magenius wa jf washushe nondo zao

Kuhusu utajiri kila mtu anao kwa imagination zake kazi ni kuuelezea na kuaminisha watu kwa maneno 😁
 
Sifa za mwanaJF

1. Wote humu ni wasomi. Graduates wa UDSM, SUA na MUHAS ni wengi zaidi.

2. Kila mtu humu ni kipanga. Wote tulifanya vizuri shuleni. Kila mtu ana A ya Physics hata kama aliamua kusoma HKL.

3. MwanaJF ni mtu mwenye hela. Mishahara na biashara kubwa.

4. Hakuna mwenye tatizo la nguvu za kiume. Afya ziko imara.

5. Hakuna mwanaJF ambaye hajawahi kusafiri nchi za nje. Airports kubwa kubwa zote tumefika.

6. Hakuna aliye tayari kuoa single mother.

7. Wote tuna upeo mkubwa kwenye mambo ya siasa.
Hayo ndiyo maoni yako???
 
Cyabonga Jesus

Wenzileeee....
 
Sio kweli
Sifa ni hiziiii....

1. Ujuaji kila kitu
2.ubishi na kutokubali kushindwa
3.utajiri
4. Kuwa mchukia serikali, yaani hata mods wakifuta uzi wako unaishitumu serikali ya ccm
5.Mpinga singlemother hii kwa ME😄
True
 
Back
Top Bottom