Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Dah! Inasikitisha kwakweli. Ngoja wapige pesa.Wakuu Kuchelee.
.
Timu ya taifa ya kuogelea iliondoka jana kwenda Birmingham uingereza ikiwa na mwogeleaji mmoja na viongozi 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.
Daaaaah Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Tuliambiwa hakutakuwa na Upigaji awamu hiiDah! Inasikitisha kwakweli. Ngoja wapige pesa.
Daaaah Muogeleaji Mmoja Ila Viongozi 19 Kwenye Msafara .... Acha Walambe Asali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh hii nchi iwekwe kwenye vituko vya dunia[emoji41][emoji23]
Hakika ni mwendelezo wa upigaji ule ule!!Wakuu Kuchelee.
.
Timu ya taifa ya kuogelea iliondoka jana kwenda Birmingham uingereza ikiwa na mwogeleaji mmoja na viongozi 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.
Daaaaah Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa!
Sema ukweli?Wakuu Kuchelee.
.
Timu ya taifa ya kuogelea iliondoka jana kwenda Birmingham uingereza ikiwa na mwogeleaji mmoja na viongozi 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.
Daaaaah Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa!
Wamepewa bendera 19 hao wasindikizaji ndiyo watazipeperusha jamaa akiwa anakata maji kama mamba.na bendera y taifa wakapewa pia!
RuppyJiwe lala salama.