Ukishangaa ya Musa Utayaona ya Firauni

Ukishangaa ya Musa Utayaona ya Firauni

Wakuu Kuchelee.
.
Timu ya taifa ya kuogelea iliondoka jana kwenda Birmingham Uingereza ikiwa na muogeleaji mmoja na viongozi 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.
Daaaaah Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa!
Sitaamini maneno yako kama sitaiona picha yao wakiwa kule Birmingham uingereza.
 
Wamepatiapo chance ya kwenda kuta-ri uropa
 
Back
Top Bottom