ACHIKOYO
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 312
- 352
Sitaamini maneno yako kama sitaiona picha yao wakiwa kule Birmingham uingereza.Wakuu Kuchelee.
.
Timu ya taifa ya kuogelea iliondoka jana kwenda Birmingham Uingereza ikiwa na muogeleaji mmoja na viongozi 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.
Daaaaah Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa!