Ukishangaa ya Musa Utayaona ya Firauni

Ukishangaa ya Musa Utayaona ya Firauni

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Kuchelee.
.
Timu ya taifa ya kuogelea iliondoka jana kwenda Birmingham Uingereza ikiwa na muogeleaji mmoja na viongozi 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.
Daaaaah Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa!
 
Wakuu Kuchelee.
.
Timu ya taifa ya kuogelea iliondoka jana kwenda Birmingham uingereza ikiwa na mwogeleaji mmoja na viongozi 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dah! Inasikitisha kwakweli. Ngoja wapige pesa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Tuliambiwa hakutakuwa na Upigaji awamu hii
.
Ni mwendo wa kulambaa asali Tu Mzee Baba [emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Duh hii nchi iwekwe kwenye vituko vya dunia[emoji41][emoji23]
Daaaah Muogeleaji Mmoja Ila Viongozi 19 Kwenye Msafara .... Acha Walambe Asali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu Kuchelee.
.
Timu ya taifa ya kuogelea iliondoka jana kwenda Birmingham uingereza ikiwa na mwogeleaji mmoja na viongozi 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.
Daaaaah Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa!
Hakika ni mwendelezo wa upigaji ule ule!!
 
Wakuu Kuchelee.
.
Timu ya taifa ya kuogelea iliondoka jana kwenda Birmingham uingereza ikiwa na mwogeleaji mmoja na viongozi 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.
Daaaaah Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa!
Sema ukweli?
 
Back
Top Bottom