Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,193
- 926
Unataka tule wapi ?Ukitumia kichwa Kama kifuniko Cha shingo utapigwa tu.
ChatoUnataka tule wapi ?
wacha wapigwe tu
Ukitumia kichwa Kama kifuniko Cha shingo utapigwa tu.
Mtapigwa mpaka mkomeVipi kuhusu zile hisa za Vodacom?
Na je, Mr.Kuku naye ni mkweli au ndo walele?
Nchi imekuwa ya kipigaji mno.Wajinga watapigwa hadi akili zikae sawa.
Izi shida zote za nini si ni bora ulime tu mwenyewe haya mambo haya sio poa kabisaaKuna ndugu yangu wa karibu alinunua hisa za kampuni inaitwa JATU wakijinasibu kuwalimia watu ma kuwauzia mazao yao wao wasubir faida tu.
Kilichotokea hisa wamenunua mazao wameuza kampuni imesema haina uwezo wa kulipa kila mkulima hela kulingana na mazao walioyouza.
Wakati huo huo wanasema wanahama dar es salaam wanaenda Rukwa.
Wakati wana hisa 70% wakazi wa dar es salaam.
Kwa kifupi wana hisa wa iyo kampuni wanakalibia Kupigwa.
Shangaa hata wewe.Hatari sana kwanini usifanye biashara mwenyewe.
Hao si wamejisajili kwenye soko la hisa la DSE ?....acha kuwachafua.Kuna ndugu yangu wa karibu alinunua hisa za kampuni inaitwa JATU wakijinasibu kuwalimia watu ma kuwauzia mazao yao wao wasubir faida tu.