Ukishangaa ya Q-Net utayaona ya JATU

Ukishangaa ya Q-Net utayaona ya JATU

Jembemtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
1,193
Reaction score
926
Kuna ndugu yangu wa karibu alinunua hisa za kampuni inaitwa JATU wakijinasibu kuwalimia watu na kuwauzia mazao yao wao wasubiri faida tu.

Kilichotokea hisa wamenunua mazao wameuza kampuni imesema haina uwezo wa kulipa kila mkulima hela kulingana na mazao walioyouza.

Wakati huo huo wanasema wanahama Dar es Salaam wanaenda Rukwa.

Wakati wana hisa 70% wakazi wa Dar es Salaam.

Kwa kifupi wana hisa wa hiyo kampuni wanakaribia Kupigwa.
 
Vipi kuhusu zile hisa za Vodacom?
Na je, Mr.Kuku naye ni mkweli au ndo walele?
 
Wajinga watapigwa hadi akili zikae sawa.
 
Jatu Jatu nilikiunga ilipo fika eti wakulimie wakufanyie Palizi wakuvunie na kukutafutie masoko au Wana nunua wao wewe umekaa tuu hata shamba hulijui nilitoka ndukiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna ndugu yangu wa karibu alinunua hisa za kampuni inaitwa JATU wakijinasibu kuwalimia watu ma kuwauzia mazao yao wao wasubir faida tu.
Kilichotokea hisa wamenunua mazao wameuza kampuni imesema haina uwezo wa kulipa kila mkulima hela kulingana na mazao walioyouza.
Wakati huo huo wanasema wanahama dar es salaam wanaenda Rukwa.
Wakati wana hisa 70% wakazi wa dar es salaam.
Kwa kifupi wana hisa wa iyo kampuni wanakalibia Kupigwa.
Izi shida zote za nini si ni bora ulime tu mwenyewe haya mambo haya sio poa kabisaa
 
Kuna ndugu yangu wa karibu alinunua hisa za kampuni inaitwa JATU wakijinasibu kuwalimia watu ma kuwauzia mazao yao wao wasubir faida tu.
Kilichotokea hisa wamenunua mazao wameuza kampuni imesema haina uwezo wa kulipa kila mkulima hela kulingana na mazao walioyouza.
Wakati huo huo wanasema wanahama dar es salaam wanaenda Rukwa.
Wakati wana hisa 70% wakazi wa dar es salaam.
Kwa kifupi wana hisa wa iyo kampuni wanakalibia Kupigwa.
Hao si wamejisajili kwenye soko la hisa la DSE ?....acha kuwachafua.

Kama mauzo hayakuwa mazuri ina maana wana hisa hawawezi kuvuna faida.
 
Weka hapa form yao tusome zile ''terms and conditions''....watu wanajaza wenyewe baadae wanasema wamepigwa, no easy eeeh-p square
 
Back
Top Bottom