Ukishangaa ya Q-Net utayaona ya JATU

Ukishangaa ya Q-Net utayaona ya JATU

Kuna ndugu yangu wa karibu alinunua hisa za kampuni inaitwa JATU wakijinasibu kuwalimia watu na kuwauzia mazao yao wao wasubiri faida tu.

Kilichotokea hisa wamenunua mazao wameuza kampuni imesema haina uwezo wa kulipa kila mkulima hela kulingana na mazao walioyouza.

Wakati huo huo wanasema wanahama Dar es Salaam wanaenda Rukwa.

Wakati wana hisa 70% wakazi wa Dar es Salaam.

Kwa kifupi wana hisa wa hiyo kampuni wanakaribia Kupigwa.
Niliwahi kuwaona hawa jamaa wanajitangaza kwenye TV nikaona kama vile hapa kuna njia nyepesi ya kupiga pesa ndefu,ila baadaye nikajitafakari nikasemaa hihihiiii mwagosha...
 
Wewe wale ni wezi kama DELASKA, mr.kuku, Qnet, ORIFLAME,gnld, deci, FREECELL, forever
 
Hao si wamejisajili kwenye soko la hisa la DSE ?....acha kuwachafua.

Kama mauzo hayakuwa mazuri ina maana wana hisa hawawezi kuvuna faida.
Ungekua mfuatiliaji ungejua walishasimamishwa kuuza hisa zao huko DSE.
 
watu wavivu sana......kuna wengine wa VANILLA..... nawafutilia bado.......hili nahisi WATAPIGWA TENA...
 
Back
Top Bottom