Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Sisi wote ni mashahidi nchi hii ipo hapa ilipo kwa sababu ya kuwa na katiba ya hovyo ambayo hailengi usimamiz bora wa rasilimali pamoja na rasilimali watu.
Kiongozi yeyote hasa nafasi ua URAIS mwenye uzalendo wa dhati kabisa akisha apishwa tunaamini kabla ya yote ataanza na kutuletea katiba ambayo inatoa uhuru kwa kila idara na taasisi na kila muhimili kujitegemea na kuwa na nguvu ya kujitegemea isiyo pangiwa na muhimili mwingine ninu cha kufanya kwa sababu tu ya hofu ya uteuzi
Kwa maana hiyo kiongozi mwenye uzalendo wa dhati kabisa atahakikisha kwanza analeta katiba ambayo kila muhimili utakuwa na nguvu kubwa ya kuuwajibisha muhimili mwingine kwa mujibu wa katiba bila hofu wala woga pale muhimili mmoja unapo kwenda kinyume na utaratibu tulio jiwekea
Na hapo ndipo nchi hii itaanza kupata maendeleo tunayo yapigia kelele sasa ambayo hayawezi kutekelezwa na katiba hii ya hovyo hovyo ambayo kwanza ina toa mamlaka kubwa kwa mtu mmoja tena kwenye nafasi nyeti kabisa
kitu ambacho huyo mwenye mamlaka hayo siku akiwa mlevi akalewa mvinyo anaweza kuamua kutamka kwa maneno ya mdomoni tu kugeuza jumapili kuwa juma tatu na jumosi kuwa ijumaana kuifuta kabisa jumatano kwenye kalenda ya tanzania na ikawa sheria kwenye nchi yake na hakuna wa kumuuliza wala kumkosoa
kinyume na hapo huyo si mzalendo wa vitendo bali wa maneno na kwa vile kashaon
a madhaifu ya katiba iliyopo na hata rekebisha chochote kwa sababu na yeye itamlinda na maovu yake hivyo anataka nayeye kuficha maovu yake kupitia katiba hii ya kipuuzi inayo mlinda na kumpa madaraka makubwaaa ya kulevya.
Tumeshuhudia leo wakuu wamikoa na wilaya wanavyo jifanyia mambo kama walevi wa komoni na hakuna mamlaka ya kumuwajibisha na ikiwezekana kumtoa kwenye nafasi hiyo hadi mamlaka ya uteuzi iliyo pewa meno na katiba yetu ya hovyo itakapo jisikia kutoa maamuzi
kinyume na hapo wengine mtapiga tu keleee weeeee na bado mkuu wa mkoa au wilaya huyo anaendelea na manyanyaso yake tena huku akiwakejeli na kuwadharau na kuwadhiahaki kwa maanankuna baba yake asiye shindwa kamwe! hahahaaaa.
KATIBA BORA NDIO CHACHU YA MAENDELEO TANZANIA NA SI VINGINEVYO MAANA NDIO ITAKAYO SAIDIA KUZUIA HATA HUO UFISADI KUPUNGUA MAANA MAMLAKA ZA KUWAJIBISHA HAZITAKUWA NA HOFU KUMUWAJIBISHA HATA KAMA NI RAIS NDIYE FISADI KINYUME NA HAPO TUTAENDELEA KUCHEZEWA AKILI HADI YESU ARUDI.