Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Mungu hakupi vyote, vilevile hakunyumi vyote.Mi sidhani kama anawashauri wazuri wa siasa..JPM kwa kiasi kikubwa ni kiongozi amegusa maisha ya watu wengi ingawa alikuwa ni babe, kisiasa kuamua kupambana nae amepoteza wafuasi wengi sana sababu ukweli ni kwamba JK watu hawamkubali. Kipimo kizuri ni chanjo ya corona..ajiulize kwann watu hawachanji kama wanamsikiliza, so yeye suala la magufulia angetumia busara sana sababu linaweza kuwamaliza kisiasa ikitokea kuna kundi likajitenga esp watu wanaotoka kanda ya ziwa na wakawa na ushawishi, uchaguzi utakuwa mbaya sana. Ngoja tuone..tunaokaa mtaani tunajua hisia za watu. Watu hawataki tena viongozi legelege.
Yaani uwe Rais mzalendo, muadilifu, mchapakazi, mfuatiliaji, msikivu, mpole, mwenye mvuto kwa watu(siasani na nje ya siasa), hapohapo uwe na msimamo thabiti..
Never..na hata siku akipatikana, huyo ndiyo atabongoronga kuliko wote.
Hata huyu mama atatufaa tu mahala.