Ukishawagawa watu hutoweza kuwaongoza

Mungu hakupi vyote, vilevile hakunyumi vyote.

Yaani uwe Rais mzalendo, muadilifu, mchapakazi, mfuatiliaji, msikivu, mpole, mwenye mvuto kwa watu(siasani na nje ya siasa), hapohapo uwe na msimamo thabiti..

Never..na hata siku akipatikana, huyo ndiyo atabongoronga kuliko wote.

Hata huyu mama atatufaa tu mahala.
 
Huko kungine nikawaida alipokosea kumfunga mbowe kwahakika Hilo ni pigo
 
Nyini ni vijana na yeye ni mama...

Mkimzingua nawazingua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…