Ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSSF ni muda gani itachukua kupata mafao?

Nilikuwa naukiza ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSsf ni muda gani itachukua kupata mafao yako.
Yaani hadi uweka unajaza fomu, unasaini na kuweka finger kisha unarudisha fomu na kugeuka kuondoka....... ulishindwa kuuliza kwamba noti itaiva baada ya siku ngapi...🤔
Yaani umeuliza kama mtu alie katwa kichwa..☹️
 
Nilikuwa nauliza ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSsf ni muda gani itachukua kupata mafao yako.
Kuna wakati unaweza hata kusahau.
Mke wangu aliweka funger print mwaka jana Agosti, pesa imetoka mwaka huu Aprili.
Na hapo baada ya kuwafuatilia sana piga sana simu na kutuma email.
Tulikuwa tunadeal na Makao makuu wao wanawapia branch wanaelekezwa wamhudumie.
Ila wengi wanaofungulia Madai Arusha hawasumbuki kabisa.
Sijui hizi Ofisi za mikoa mingine wana nini.
 
Uko sahihi nje ya jiji la hivyo la Dar es Salaam ishu za nssf huwa simpo sana na hawahitaji madocument mengi hivyo ila kuwaka alama za vidole sio kupata pesa kwa haraka

USSR
 
Ndani ya week moja

Nawapongeza nssf kinondoni
WAnapiga kazi sana na kwa weled uliotukuka kila jambo kwa hatua na kwa muda sahihi

Hongeren sana

Branch zingine igeni kinondoni nssf
 
Ukifu
Kuna wakati unaweza hata kusahau.
Mke wangu aliweka funger print mwaka jana Agosti, pesa imetoka mwaka huu Aprili.
Na hapo baada ya kuwafuatilia sana piga sana simu na kutuma email.
Tulikuwa tunadeal na Makao makuu wao wanawapia branch wanaelekezwa wamhudumie.
Ila wengi wanaofungulia Madai Arusha hawasumbuki kabisa.
Sijui hizi Ofisi za mikoa mingine wana nini.
Ukufungulia makao makuu lazima uchelewe.Unatakiwa ufuungulie tawini kwako
 
Kuna wakati unaweza hata kusahau.
Mke wangu aliweka funger print mwaka jana Agosti, pesa imetoka mwaka huu Aprili.
Na hapo baada ya kuwafuatilia sana piga sana simu na kutuma email.
Tulikuwa tunadeal na Makao makuu wao wanawapia branch wanaelekezwa wamhudumie.
Ila wengi wanaofungulia Madai Arusha hawasumbuki kabisa.
Sijui hizi Ofisi za mikoa mingine wana nini.
Ofisi za Arusha wabarikiwe sana,ukiweka fingerprint ni ndani ya siku Saba za kazi account inasoma hawachelewi hata kidogo
 
Wakuu me kwangu inaonyesha claim payment imetikiwa jana tarehe 22 October ila status bado na soma Claim approved na sms ya bank bado, shida inaweza kua nn hapo??
Screenshot_20251022-164658.png
 
Back
Top Bottom