oldbull
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 380
- 674
Sio siri kwamba kilimo na Ufugaji unalipa, tena sana. Ila unalipa sana kwa watu wenye mitaji mikubwa na uzoefu, so kila kitu kinahitaji discipline na uthubutu.
Ila ikiona mfugaji au mkulima anapromote sana kitega uchumi chake ni kwa sababu anataka kupata pesa zaidi na hamna njia nzuri ya kupata pesa kama kushawishi wengine wakuige kwanini?
Kuuza mbegu za wanyama na mazao kuna faida kubwa na ya haraka kuliko kufanya biashara ya kufuga au kulima mwenyewe.
So ukisikia nguruwe wanalipa ni kweli ila anayeuza mbegu anapata pesa zaidi ya kuuza nyama, au atauza chakula na dawa za mifugo...
So ukiingia kwenye hizi biashara kuwa na malengo makubwa ya kusapoti wengine wanaotaka nao kuingia, hapo ndo pesa ipo