“Hata Mabingwa Hawaponi!” — Sawe Tax Saga Yafungua Macho ya Wakenya Kuhusu Mzigo wa Ushuru Unaowakandamiza Wananchi
Mjadala mkali umeibuka nchini baada ya taarifa kuwa marathon star alikatwa karibu KSh 18 million kama tax kutoka kwa winnings zake za zaidi ya KSh 48 million baada ya mashindano ya kimataifa kama London Marathon.
Senator alikosoa hatua hiyo akisema serikali inafaa kuwasaidia athletes badala ya kuwatoza ushuru mkubwa ilhali wanaipeperusha Kenya kimataifa. Lakini kwa wananchi wengi, hii si story ya mwanariadha pekee — ni reflection ya maisha yao ya kila siku.
Kwa sasa Wakenya wengi wanahisi kubanwa kila kona. Ukiweka mafuta tax iko. Ukibuy unga ama cooking oil bei iko juu juu sababu ya taxes. Salary ikingia deductions zinangoja. Mtu akifanya biashara ndogo bado licenses na levies zinamfuata.
Wananchi online wameanza kuuliza kama Kenya imekuwa nchi ya “working just to pay taxes.” Wengine wanasema serikali inaonekana kuwa harsh kwa watu wanaojituma kutafuta pesa huku huduma muhimu kama healthcare, roads na job opportunities bado zikisumbua wengi.
Wengine pia wanaona kama athletes, ambao wengi hutoka humble backgrounds na kutumia talent kubadilisha maisha ya familia zao, wanastahili special consideration badala ya mzigo mkubwa wa ushuru.
Sawe saga sasa imegeuka kuwa symbol ya frustration ya ordinary mwananchi ambaye anaona kila hatua ya maisha imewekewa tax kutoka kwa mshahara hadi kwa success yenyewe.