steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
- Thread starter
- #21
sawa nashkuruUlivyoandika "hasubui" nimeshapunguza attention kabisaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa nashkuruUlivyoandika "hasubui" nimeshapunguza attention kabisaaaaaaa
Mkuu mbona unapenda kutumia BOLD sanaSawa swahiba umesomeka
Kwa kawaida mwili unakuwa katika relaxation ya kiwango cha juu kabisa. Hata ndoto unazoota wakati huo mara nyingi zina ujumbe muhimu sana kwako.Mtoa mada ametoa kitu cha ukweli, isipokuwa kaharibu alivyosema watu wasifanye mapenzi, amekuwa kama kaingiza mzaha.
Iko hivii?
Kuna masaa mahsusi ukiyatumia kuwaza, huwa kuna matokeo ya mafanikio. Si pesa tu, hata maisha kwa uumla wake.
Muda wa alfajiri, hasa tuseme kuanzia saa9 hadi 11, ni masaa mazuri sana kuweza kupata majibu na suluhisho la vitendawili mbalimbali.
Muda huo huwa kuna utulivu mkubwa sana kimwili, kiakili na kimazingira. Fanyia utafiti ushauri huu, lazima utakupatia matokeo chanya.
Napendelea tu mkuuMkuu mbona unapenda kutumia BOLD sana
Hili swali linamantiki sana comradeSteve Shemeji ukiamka asubuhi cha kwanza unashika wapi katika mwili wako? Tuanzie hapo kwanza, kuwa mkweli.
Kwa akili hii unataka ajira?!Wewe unayewaza kupata hela usiku tupe bas ajira..
Steve Shemeji ukiamka asubuhi cha kwanza unashika wapi katika mwili wako? Tuanzie hapo kwanza, kuwa mkweli.
Tehe tehe tehe tehe tehe !Kichwani