Ukishuka Airport Dar ukapita barabara kuu unaona jinsi nchi na watu wake walivyochoka. Viongozi mnafeli wapi?

Ukishuka Airport Dar ukapita barabara kuu unaona jinsi nchi na watu wake walivyochoka. Viongozi mnafeli wapi?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dar miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala mnaoshinda kwenye ndege kila kukicha mnnaenda kwenye nchi za watu huwa hamuoni huko kwa wenzenu kukoje?

Yaani just imagine, barabara ya mwanzo ambayo wageni wanapita kabla hawajaenda popote nchini wanakutana na kituko cha barabara ile. First impression inayopatikana hapo ni ya kanchi masikini ka watu masikini, ka viongozi hopeless!

Yaani hako kabarabara kako hivyohivyo miaka nenda rudi pachovu choka mbaya, yaani vagalanti hovyohovyo.

Nyie watawala mnatutia aibu, mnajionaje fahari kuwa viongozi msioweza kudeal na issues ndogo namna hiyo kama hiyo ya kuipa nchi "reception" ya maana?

Kwa kweli aibu naona mimi.

Miviongozi kazi kujilimbikizia mali, kutwa kucha kwenye ndege, misafara ya mamia ya magari, lakini barabara tu ya airport wanayopita daily kwenda huko nje ya nchi kuuza sura imewashinda!. Sijui hii mijitu ikoje?

Kila siku ukipita maendo hayo unakutana na miradi uchwara as if wanajenga, lakini miaka yote huo ujenzi huwa hauishi, ni magumashi, hakuna lolote la maana linaloonekana!. Yaani choka mbaya choka mbaya, hovyo hovyo kabisa!.

Nyie viongozi wa nchi hii badilikeni. Incompentency yenu ndo inatufanya sisi huko duniani tuonekane kama nyani tu. Nchi zina marasilimali kibao halafu unakutana na kinchi kimechokaaa. Hii inakuwaje.

Yaani unapita barabarabani pembeni unakutana na mamitaro makubwaaa hayajafunikwa ambayo kwanza ukifuatilia vizuri hayana exit ya mitoni wala sewage system yoyote ya maana, yaani yapo ceremonial tu.

Mamitaro makubwa hayajafunikiwa na yamekaa kama mahandaki ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Hivi hawa wenye dhamana ya utawala wakienda huko kwa wenzetu wanajifunza chochote kweli?.

Achilia mbali hilo. Ukishuka airport njiani unakutana na wabongo wamechoka mbaya, hali ngumu, wamekonda, wameweka vimizigo vyao barabarani masikini wanahustle. Hii iko hivyo miaka nenda rudi. Wakati huo kuna watu wanaitafuna nchi hii kwa kula na kusaza. Ni lini wansnchi wataanza kula matunda na mema ya nchi?. Watawala wanawaza siasa tu, siasa tu.

1722474605719.jpeg

Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
 
Mkuu utasemwa unajiona sasa hivi.

Dar kwanza advertise unaiona kutoka juu, vibati vyenye kutu mji mzima.

Nilishangaa sana Oysterbay pale shuleni barabara ina mashimo kibao.

Mandela Road barabara kubwa inasafirisha malori kwenda bandarini, ilikuwa haina taa.
 
Mod naomba univumilie niteme nyongo!.

Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dara miaka 8 iliyopita, ukashaka maika mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutanana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji saza. Ni lini wansnchi wataanza kula matunda na mema ya nchi?. Watawala wanawaza siasa tu, siasa tu.
Lucas Mwashambwa njoo unyooshe maelezo huku
 
Yaani huhitaji kujua kuwa hii nchi haina uongozi. Just shuka na ndege tu pita barabara kuu , kisha utaona haka ka nchi kalivyofanywa useless hopeless kabisa kwa uongozi mbovu usiojua unatakiwa kufanya nini.

Hivi ukiwa kiongozi halafu unaongoza kanchi kachafu, kamechoka namna hii, kana watu wamekondakonda halafu dhaifu dhaifu, unajiona ufahari gani kwa mfano?
 
Mod naomba univumilie niteme nyongo!.

Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dara miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutanana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji
Hata ukienda mkoani tu, ukakaa muda fulani, kukirudi dsm unaona namna raia barabarani wanavyotembea wakiwa wamechoka, wamejaa mawazo,wamekata tamaa, wana sura za umasikini na hasira, joto daladala dart everything, ni kwamba wamevurugwa mbaya. na ukitaka kuwafahamu vizuri mchokoze mmoja uone hasira atakazomalizia kwako.
 
Mod naomba univumilie niteme nyongo!.

Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dara miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutanana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoja kamechoja kwelikweli. Hivi nyie watawaka mnaoshda kwenye ndege kila kukicha mnnaenda kwenye nchi za watu huwa hamuoni huko kwa wenzenu kukoje?
ni masikini wanahustle. Hii iko hivyo miska nenda rudi. Wakati huo kuna watu wanaitafuna nchi hii kwa kula na kusaza. Ni lini wansnchi wataanza kula matunda na mema ya nchi?. Watawala wanawaza siasa tu, siasa tu.
Usijali macho yatazoweya ni swla la muda tu,na utakua hadi unakula Mgahawani chakula huku inzi kibao wamekuzunguka!!
 
Mod naomba univumilie niteme nyongo!.

Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dara miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala mnaoshinda kwenye ndege kila kukicha mnnaenda kwenye nchi za watu huwa hamuoni huko kwa wenzenu kukoje?

Yaani just imagine, barabara ya mwanzo ambayo wageni wanapita kabala hawajaenda popote nchini wanakutana na kituko cha barabara ile. First impression inayopatikana hapo ni ya kanchi masikini ka watu masikini, ka viongozi hopeless!

. Ni lini wansnchi wataanza kula matunda na mema ya nchi?. Watawala wanawaza siasa tu, siasa tu.
TANROADs wako wapi? Mitaro hawauoni?
 
Mod naomba univumilie niteme nyongo!.

Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dara miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala mnaoshinda kwenye ndege kila kukicha mnnaenda kwenye nchi za watu huwa hamuoni huko kwa wenzenu kukoje?

Yaani just imagine, barabara ya mwanzo ambayo wageni wanapita kabala hawajaenda popote nchini wanakutana na kituko cha barabara ile. First impression inayopatikana hapo ni ya kanchi masikini ka watu masikini, ka viongozi hopeless!

Yaani hako kabarabara kako hivyohivyo miaka nenda rudi pachovu choka mbaya, yaani vagalanti hovyohovyo.

Nyie watawala mnatutia aibu, mnajionaje fahari kuwa viongozi msioweza kudeal na issues ndogo namna hiyo kama hiyo ya kuipa nchi "reception" ya maana?

Kwa kweli aibu naona mimi.

Miviongozi kazi kujilimbikizia mali, kutwa kucha kwenye ndege, misafara ya mamia ya magari, lakini barabara tu ya airport wanayopita daily kwenda huko nje ya nchi kuuza sura imewashinda!. Sijui hii mijitu ikoje?

Kila siku ukipita maendo hayo unakutana na miradi uchwara as if wanajenga, lakini miaka yote huo ujenzi huwa hauishi, ni magumashi, hakuna lolote la maana linaloonekana!. Yaani choka mbaya choka mbaya, hovyo hovyo kabisa!.

Nyie viongozi wa nchi hii badilikeni. Ibcompentency yenu ndo inatufanya sisi huko duniani tuonekane kama nyani tu. Nchi zina marasilimali kibao halafu unakutana na vinchi vimechokaaa. Hii inakuwaje.

Yaani unapita barabarabani pembeni unakutana na mamitaro makubwaaa hayajafunikwa ambayo keanza ukifuatilia vizuri hayana exit ya mitoni wala sewage system yoyote ya maana, yaani yapo ceremonial tu.

Mamitaro makubwa hayajafunikiwa na yamekaa kama mahandaki ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Hii hawa wenye dhamana ya utawala wakienda huko kwa wenzetu wanajifunza chochote kweli?.

Achilia mbali hilo. Ukishuka airport njiani unakutana na wabongo wamechoka mbaya, hali ngumu, wamekonda, wameweka vimizigo vyao barabarani masikini wanahustle. Hii iko hivyo miska nenda rudi. Wakati huo kuna watu wanaitafuna nchi hii kwa kula na kusaza. Ni lini wansnchi wataanza kula matunda na mema ya nchi?. Watawala wanawaza siasa tu, siasa tu.
Mji mzima sahivi barabara zimebomolewa wanajenga mwendokasi sasa ukisema ulalamike pengine hujui kinachoendelea ila pia usifananishe tz na USA bado isee.
 
Yaani huhitaji kujua kuwa hii nchi haina uongozi. Just shuka na ndege tu pita barabara kuu , kisha utaona haka ka nchi kalivyofanywa useless hopeless kabisa kwa uongozi mbovu usiojua unatakiwa kufanya nini.

Hivi ukiwa kiongozi halafu unaongoza kanchi kachafu, kamechoka namna hii, kana watu wamekondakonda halafu dhaifu dhaifu, unajiona ufahari gabi kwa mfano?
Kwe hapa umetapika nyongo yooooteeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!! Daaaaa, na vibati vya kutu Magomeni!!!!!!!!!!!! Ilala hadi unatua!!!!!
 
Mji mzima sahivi barabara zimebomolewa wanajenga mwendokasi sasa ukisema ulalamike pengine hujui kinachoendelea ila pia usifananishe tz na USA bado isee.
Hata kwa ulegevu mkuu? Yaani mfano uende kigoma uwaone watu wanavyotembea mjini utadhani wote ni wagonjwa taabani, wanatembea taratiiiibu, wamelegea legea kama nini sijui
 
hata ukienda mkoani tu, ukakaa muda fulani, kukirudi dsm unaona namna raia barabarani wanavyotembea wakiwa wamechoka, wamejaa mawazo,wamekata tamaa, wana sura za umasikini na hasira, joto daladala dart everything, ni kwamba wamevurugwa mbaya. na ukitaka kuwafahamu vizuri mchokoze mmoja uone hasira atakazomalizia kwako.
Hii kitu hata mimi nimeiona. Raia wa dar mfano uwakute wamesimama kituoni, yaani sura hazina nuru kabisaa. Yani unaona kabisa hawa watu hawana matumaini yoyote moyoni.
 
Back
Top Bottom