Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar jinsi ilivyo Chafu ni Kama Zizi la Ng'ombe!Dar ni mji mchafu na hovyo sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] wapi huko mkuuYaani na huku kuna kabarabara kana mamitaro makubwa balaa utadhani mahandaki halafu hayajafunikwa
Huwa Nawaza sana hawa ndugu zangu boda boda akikosea tu step anapotelea humo
Mod naomba univumilie niteme nyongo!.
Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dara miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala mnaoshinda kwenye ndege kila kukicha mnnaenda kwenye nchi za watu huwa hamuoni huko kwa wenzenu kukoje?
Yaani just imagine, barabara ya mwanzo ambayo wageni wanapita kabala hawajaenda popote nchini wanakutana na kituko cha barabara ile. First impression inayopatikana hapo ni ya kanchi masikini ka watu masikini, ka viongozi hopeless!
Yaani hako kabarabara kako hivyohivyo miaka nenda rudi pachovu choka mbaya, yaani vagalanti hovyohovyo.
Nyie watawala mnatutia aibu, mnajionaje fahari kuwa viongozi msioweza kudeal na issues ndogo namna hiyo kama hiyo ya kuipa nchi "reception" ya maana?
Kwa kweli aibu naona mimi.
Miviongozi kazi kujilimbikizia mali, kutwa kucha kwenye ndege, misafara ya mamia ya magari, lakini barabara tu ya airport wanayopita daily kwenda huko nje ya nchi kuuza sura imewashinda!. Sijui hii mijitu ikoje?
Kila siku ukipita maendo hayo unakutana na miradi uchwara as if wanajenga, lakini miaka yote huo ujenzi huwa hauishi, ni magumashi, hakuna lolote la maana linaloonekana!. Yaani choka mbaya choka mbaya, hovyo hovyo kabisa!.
Nyie viongozi wa nchi hii badilikeni. Ibcompentency yenu ndo inatufanya sisi huko duniani tuonekane kama nyani tu. Nchi zina marasilimali kibao halafu unakutana na vinchi vimechokaaa. Hii inakuwaje.
Yaani unapita barabarabani pembeni unakutana na mamitaro makubwaaa hayajafunikwa ambayo keanza ukifuatilia vizuri hayana exit ya mitoni wala sewage system yoyote ya maana, yaani yapo ceremonial tu.
Mamitaro makubwa hayajafunikiwa na yamekaa kama mahandaki ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Hii hawa wenye dhamana ya utawala wakienda huko kwa wenzetu wanajifunza chochote kweli?.
Achilia mbali hilo. Ukishuka airport njiani unakutana na wabongo wamechoka mbaya, hali ngumu, wamekonda, wameweka vimizigo vyao barabarani masikini wanahustle. Hii iko hivyo miska nenda rudi. Wakati huo kuna watu wanaitafuna nchi hii kwa kula na kusaza. Ni lini wansnchi wataanza kula matunda na mema ya nchi?. Watawala wanawaza siasa tu, siasa tu.

🤣🤣🤣mjinga sana kunbe ukija dar unawachora wazee wa kuramba lipshata ukienda mkoani tu, ukakaa muda fulani, kukirudi dsm unaona namna raia barabarani wanavyotembea wakiwa wamechoka, wamejaa mawazo,wamekata tamaa, wana sura za umasikini na hasira, joto daladala dart everything, ni kwamba wamevurugwa mbaya. na ukitaka kuwafahamu vizuri mchokoze mmoja uone hasira atakazomalizia kwako.
Wanatia huruma sana! hii kitu ni kweli kabisa ukienda njombe au Kahama ukiwaona raia wake halafu uje uone baadhi ya raia za Dar zikiwa kwenye msoto wa kupambana na mwendo kasi unaona kabisa sura zimepoteza matumaini.Hii kitu hata mimi nimeiona. Raia wa dar mfano uwakute wamesimama kituoni, yaani sura hazina nuru kabisaa. Yani unaona kabisa hawa watu hawana matumaini yoyote moyoni.
Hata kwa ulegevu mkuu? Yaani mfano uende kigoma uwaone watu wanavyotembea mjini utadhani wote ni wagonjwa taabani, wanatembea taratiiiibu, wamelegea legea kama nini sijui
nakaa hapahapa, ila picha halisi ya watanzania unaipata dar, hasa wale wanaotembea kwa mguu, wale wanaogombania bus, wale wanaosubiri mabasi kituoni, wale waliolowa jasho njiani, jinsi walivyona mawazo, sura zimechoka, sura hazina matumaini, sura hazina furaha zimejaa hasira. usiangalie wale wanaoendesha magari, hapo utagundua nchi hii watu wengi hawana furaha na serikali ina kazi kubwa kuweka sera zitakazoinua uchumi watu wapate furaha.🤣🤣🤣mjinga sana kunbe ukija dar ubawachora wazee wa kuramba lips
Nitajaribu kufanya uchunguzi maana nilisha wahi kuona ugomvi wa watu kuoigania seat kwenye daladala ..mtu anatukana matusi mazito anamkunja mtu kisa tu kawahi seat ambayo jamaa aliweka kimzigo kabla hajapanda na jamaa walivyo wahi kuingia kamzigo wakakatoa wakakaaa🤣🤣🤣nakaa hapahapa, ila picha halisi ya watanzania unaipata dar, hasa wale wanaotembea kwa mguu, wale wanaogombania bus, wale wanaosubiri mabasi kituoni, wale waliolowa jasho njiani, jinsi walivyona mawazo, sura zimechoka, sura hazina matumaini, sura hazina furaha zimejaa hasira. usiangalie wale wanaoendesha magari, hapo utagundua nchi hii watu wengi hawana furaha na serikali ina kazi kubwa kuweka sera zitakazoinua uchumi watu wapate furaha.
Kahama[emoji23][emoji23][emoji23] wapi huko mkuu
🤣🤣🤣AiseeKuna machinjio, ni harufu za kibeberu na raia wanazurura na miguu, mikia matumbo ya wanyama.
Nyerere road si inajengwa mwendokasi/brt!!,ukitoka tu usawa wa airport mbona pako freshYaani huhitaji kujua kuwa hii nchi haina uongozi. Just shuka na ndege tu pita barabara kuu , kisha utaona haka ka nchi kalivyofanywa useless hopeless kabisa kwa uongozi mbovu usiojua unatakiwa kufanya nini.
Hivi ukiwa kiongozi halafu unaongoza kanchi kachafu, kamechoka namna hii, kana watu wamekondakonda halafu dhaifu dhaifu, unajiona ufahari gabi kwa mfano?
Na yeye complete human being akaona pawe na shule,usafiri tofauti kati ya yeye mweupe na weusi!?..hivyo ndivyo wafikirivyo complete human beings!?"Black people are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Bati za bei cheeYaani kwa bati zenye kutu, ni aibu isiyoweza fichika. Mtu unatamani ndege zote zitue usiku tu..!!