Ukishuka Airport Dar ukapita barabara kuu unaona jinsi nchi na watu wake walivyochoka. Viongozi mnafeli wapi?

Weka picha.
 
Mkuu ukiwa kama mtanzania unayeishi kwenye nchi iliyochoka umefanya jitihada gani ili kuwasaidia Watanzania wenzio kuondoka hapo barabarani?,Je waache kufanya biashara za kuwaingizia kipato?

Je,Kuchoka Kwa nchi hii ni kabla ya wewe kwenda ughaibuni au baada ya kutoka ughaibuni?

Ok,Umetoka Ughaibuni,umekuja na jambo gani jipya la kuisaidia nchi kuondoka na Hali hiyo iliyokukera?


Anyway

Hongera Kwa kupanda ndege mkuu!
 
"Black people are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
😂
 
Yaani kwa bati zenye kutu, ni aibu isiyoweza fichika. Mtu unatamani ndege zote zitue usiku tu..!!
 
Huko mbali, ukishuka tu DSM pale pale airport unakutana na harufu moja ya ajabu. Mji mzima unanuka.

Miviongozi inaona fahari kuendesha msafara wa v8 kwenye mashimo badala ya kurekebisha barabara. Inaenda nje kupiga picha tu na kushangaa haijifunzi chochote kile.
 
🤣🤣🤣
 
Michael Jackson alikuja Dar akawa anajishika pua, tukaona huyu anaringa tu.

Kumbe ike harufu tulikuwa tumeizoea tu.
 
Kumbbuka: Kwenye nchi yoyote ile hapa duniani ambayo Ina Utawala wa kidikteta au Utawala wenye itikadi ya Ukomunisti au Ujamaa, Wasomi na Watu wengine wenye akili na elimu kubwa huwa wanahesabika kuwa ni Maadui wakubwa zaidi wa Utawala uliopo madarakani.
Usithubutu hata kidogo kutaka kuleta idea, fikra au mawazo yako mapya kwenye nchi yoyote ile yenye Utawala wa namna hiyo, utapotezwa ndani ya muda mfupi kabisa, utahamishwa kutoka kwenye Sayari hii ya Dunia haraka sana bila kuchelewa. Take care!
 
Yaani na huku kuna kabarabara kana mamitaro makubwa balaa utadhani mahandaki halafu hayajafunikwa
Huwa Nawaza sana hawa ndugu zangu boda boda akikosea tu step anapotelea humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…