Ukisikia hivi, jua ni kizinga cha hela

[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mario
 
Aiseee...Nashukuru Mungu sijaomba nishapewaa
 
mimi tatizo siyo kutoa hela ila tatizo ni pale unapogundua mpo zaid ya kumi mnapigwa mizinga na kila mtu anamega kwa wakati wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waacheni dada zetu bhn..wasipoomba nani atawapa
 
Hahaaaaa you made my day boss
 
Bebi si unajua nacheza mchezo sasa sijalipa toka wiki iliyopita, niazime laki nitakurudishia....
NB: ukijidai una huruma ukatuma kaka hurudishiwi, mm nilishadhulumiwa laki 7 na mke wa mtu nampigia kudai hela anampa simu mumewe ikabidi nizuge wrong number.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…