Ukisikia hivi, jua ni kizinga cha hela

Ukisikia hivi, jua ni kizinga cha hela

aliniuliza eti unafanya kazi gani, nikamwambia nabeba zege, anakataa eti huwezi kufanya kazi hiyo nikamwambia poa
 
Unafanya kazi gani? Jua anakuadiria utamfaa ama laa

Unakuja na gari?

Najisikia vibaya sina hela ya kwenda hosptal

Natamani tuonane ila nywele sijasuka siwezi kutembea hivi

Unaweza nisaidia hela ya saloon?

Naomba unikope hela ntakurudishia baada ya siku 2

nadaiwa ada mwenzio

natamani kuja ila sina nauli

Mwenzio na njaa sijakula

Simu yangu mbovu
* kesho nakwenda kumuona shangazi yangu amelazwa muhimbili.
* jumatatu naenda msibani nimefiwa na baba mdogo kijijini kwetumachame.
* waiki ijayo naenda kwenye arobaini ya bibi yangu.
 
Juzi nimekuta kanakula msosi na wenzake baa tunayokaaga, nikawapiga offer ya bia wote. Nashangaa naambiwa "bebi na chakula tunadaiwa" nikampa makavu na sikulipa.

Situation kama hiyo ilinitokea majuzi tu hapa....teh teh teh.

Nikamwuliza kwa nini kati ya wote hapa bill unanisukumizia mimi.....hakuwa na jibu.

Nikahisi itakuwa ni USA baby....teh teh teh.
 
Wengine husema 'kama ex wangu asingekuwa ananihudumia ungenikuta hivi nilivyo'?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jibu zuri hapo unamwambia nenda basi kwa x wako akuhudumie halafu urudi[emoji28] [emoji28]

Hawa viumbe ni shiiida[emoji23] [emoji119]
 
Situation kama hiyo ilinitokea majuzi tu hapa....teh teh teh.

Nikamwuliza kwa nini kati ya wote hapa bill unanisukumizia mimi.....hakuwa na jibu.

Nikahisi itakuwa ni USA baby....teh teh teh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] USA baby inawachizisha watu wanadata[emoji28]
 
Kuna kengine juz nakambia mbona hupatikan kakasema kanatumia cm ya dada yake kwa muda nikamuhuliza yakwako vip et imezimwa nikakaa kimya then akaniuliza so tunafanyaje? Nkamjibu njoo uchukue hiki kinokia tochi changu mpaka Leo hapokei cm zangu [emoji134] [emoji134]
Nashukuru namie nilikuwa nshakachoka [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
hawa watu ni wataalamu sana,mmoja Jana kanipiga kizinga kimazingara sana....kafunua funua mapaja pale,kajinyonga nyonga pale,kanionyesha magego weee,kajibaraguza weee mwisho wa ramli hii matata akanichomoa misimbazi kadhaa.Yani mpaka leo asubuhi nimejisikia aibu kutoa sadaka kidogo wakati wa jumuiya....
Basi tu.
 
Akikupiga kizinga haina haja ya kumchunia au kumpiga kalenda ,mwambie ukweli kama nimwelewa atakuelewa tu...
 
michepuko vumbi iyo!! Tafuta kitu cha ukweli mpk demu wako akikiona mwenyewe anakua mpole.
 
Back
Top Bottom