Ukisikia HR 666 amefariki utamkumbuka kwa lipi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Siku zote hapa duniani watu wakiwa hai huwa hawapewi sifa zao stahiki mpaka pale wanapofariki ndio umuhimu wao unapoonekana

Sasa tuje kwenye mada kuu,hivi siku nikifariki utanikumbuka kwa lipi? Kitu gani utakikumbuka sana kutoka kwangu? Ujumbe gani ulipenda unipe ila ilishindikana kwa sababu mbalimbali za kibinadamu


Uwanja ndio huu sasa funguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…