Ukisikia HR 666 amefariki utamkumbuka kwa lipi

Ukisikia HR 666 amefariki utamkumbuka kwa lipi

Watu mnashindwa kuandika Historia zenu pindi mkiwa hai huku mkitegemea kuandikiwa mkiwa hoi pengine hata mkiwa marehemu!

Tutasema yale yatakayokuja Vinywani na akilini mwetu!.

RIP Peter Kalihose.
 
Mi mwenyeji mmu sasa ww hata cheo cha umod jf huna tukukumbuke kwa lipi mkuu
Saa zingine tuwe makini na hizi head line za post maan nimejikuta napoteza muda kufuatilia HR 666 ni nani nikifiki ni dude la kutisha,maana najua mpinga kristo ndio anatumia hizo triple 6!
 
Hivi dogo umeshajiona watu wanakujua sana eeeeenh? Umaarufu hauji hivyo dogo, Nani akujue kwa mapost yako yasiyo na kichwa wala chura

We kazana na shule achana na mengine
angejua kuwa tuko watu maarufu humu ndani ambao hata hatujikwezi hahahaaaa
 
Back
Top Bottom