Ukisikia HR 666 amefariki utamkumbuka kwa lipi

Ukisikia HR 666 amefariki utamkumbuka kwa lipi

Siku zote hapa duniani watu wakiwa hai huwa hawapewi sifa zao stahiki mpaka pale wanapofariki ndio umuhimu wao unapoonekana

Sasa tuje kwenye mada kuu,hivi siku nikifariki utanikumbuka kwa lipi? Kitu gani utakikumbuka sana kutoka kwangu? Ujumbe gani ulipenda unipe ila ilishindikana kwa sababu mbalimbali za kibinadamu


Uwanja ndio huu sasa funguka
Mkuu kumbe umepanga kufaliki???? Me cjawah waza hilo suala aiseww
 
Haya tujaalie ya kuwa utakumbukwa na kila mwana JF...
Wewe utapata faida gani sasa!?.
 
Hivi dogo umeshajiona watu wanakujua sana eeeeenh? Umaarufu hauji hivyo dogo, Nani akujue kwa mapost yako yasiyo na kichwa wala chura

We kazana na shule achana na mengine
Kitendo cha kusema hivyo ni ushahidi tosha kama unanijua
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom