Ukisikia kiongozi anaitwa Dikteta ujue amewaminyia makanjania ulaji

Lazima dhambi ya kupiga risasi mchana kweupe na kumuua Ben saanane lazima yupo motoni
Kwa mujibu wa Dr. Slaa, Ben alitekwa na kikosi maalum cha chadema na kuuwawa. Haya ameyasema katibu mkuu, mtendaji mkuu wa chama ambapo kikosi hicho kilikua kina report kwake.

Ben Saanae waulizwe chadema.
 

Alooo viva magufuli
 
Lkn kulijaa mauaji ya kisiasa, utekaji, watu kupewa kesi kisa hakubaliani au hafuati apendacho kiongoz, watu wakaibiwa fedha zao na kikundi ndan ya uongoz!! Mi Nadhan tuwe tu wakwel.. hakuna atakae kuja Rais ndan ya utawala huu na katiba hii eti awe mzalendo hakuna! Never ever!!! CCM wote wanajuana vzr, wanajua kila mbunge, waziri, makatibu na viongoz wote mafekechee yao yote!! Uzalendo haujawahi kuepo baada ya JKN!!
 
Mauaji ya kisiasa nani mwanasiasa aliuwawa chini ya Magufuli?
Utekaji nani alitekwa? Usisahau Dr. Slaa alisema Chadema walikua na kikosi maalum cha kuteka na kuua.

Nani aliibiwa fedha kwa nguvu, nani alipewa kesi kwa sababu hakubaliani na kiongozi.

Ukitoa tuhuma utoe na ushindi kidogo basi sio unasema tu jumla jumla. Nipe majina ya hao walioekwa, kuchukuliwa pesa zao ana kuuwawa.

Halafu uzalendo maana yake unaijua, ni kuoenda nchi yako. Mtu anaeipenda nchi yake ndio mzalendo. Mtu anaeamzisha miradi ya maendeleo ya kusaidia nchi kwa miaka 60 ijayo ambayo yeye mwenyewe hatakuwepo utasema sio mzalendo?
 
Mtumieni Gwajima akamfufue
 
Tayar unaleta theoretical issue za Slaa wakat leo hii hawez sema tena hizo kaul na anataka kujirudisha CDM!! Kuna Ben saanane, azory, mawazo, mdude, LISSU kumiminiwa risas! Ni kipi unataka uonyeshwe zaid ya hayo? Mamb ambayo hayahitaj akili mingi kuelewa!
 
Kuna binadamu wengine mko na roho ya ki ibilisi kabisa. Huna tofauti na yule Ibilisi.
 
Theoretical issue zipi wakati zimesemwa na katibu mkuu, mtendaji mkuu wa chama. That is taken at face value kwa sababu ni first hand information.

Tuanze na mawazo, huyu alikufa hata kabla Magufuli hajawa rais, ilikua kipindi cha kampeni. Hivyo huu ni uzushi tu umeleta.

Ben na Azory, tuseme waliuwawa na Magufuli kama unavyotaka tuamini ila mimi naamini alichosema Dr. Slaa kwamba chama kilikua na kikosi maalumu cha kuua na kuteka hivyo hawa ni victims wa hicho kikosi.

Mdude hana impact yoyote, ni mropokaji tu asie na staha, kinachomgharimu ni matusi, hana nidhamu, hana heshima hata kwa wanaomzidi umri. Ni matokeo ya malezi mabaya, bad parenting.

Lissu, I am sorry kwa kweli kwa jamaa na kilichomtokea, I am glad yuko hai.

So hayo ndio mauaji, utekaji, udhulumu wa pesa kwenye akaunti, kupewa kesi za uongo uliousema mwanzo? I thought una concrete evidences kumbe ni hearsay na uzushi tu.

Mbona kipindi cha kikwete waandishi waliuwawa, walitekwa kina Dr Olimboka na yule mwandishi alipigwa Bomu Iringa na yule dokta wa UD wa katiba sioni ukisema ni dikteta, ama wao hawakua watu wa maana ila kina Azory ndio wa maana sana hadi Magufuli apewe udikteta?

Umetoa ama mmekua mkutoa very serious allegations dhidi ya Magufuli, ukiombwa ushidi majina ni hayo hayo Azory, Mdude, Ben, sijui nani. Stori tu za kutunga na kuzusha zisizo na ushahidi.
 
Kwa sababu huna akili ndiyo maana unaandika yasiyokuwa na akili.
 
Magufuli is a dictator
Idd amin is a dictator
More list of dictator below!
#Mostly_Deadliet dictator of the world!

most ruthless leaders of all time

°
3/11 Magufuli (aka bulldozer/ Mtalimia meno) of Tanzania 2015-2021
  • 4/11. Timur. ...
  • 5/11. Queen Mary I (aka Bloody Mary) Reign: 1553-1558. ...
  • 6/11. Vladimir Lenin. Reign: 1917-1924. ...
  • 7/11. Joseph Stalin. Reign: 1922-1953. ...
  • 8/11. Adolf Hitler. Reign: 1933-1945. ...
  • 9/11. Mao Zedong. Reign: 1949-1976. ...
  • 10/11. Idi Amin. Reign: 1971-1979. ...
  • 11/11. Augusto Pinochet. Reign: 1973-1990.
 
Ndugu, unaumiza kichwa bure unategemea majibu stahiki, ila jamii umeiona mwenyewe, cool tutavuka
 
[emoji2935]
 
Siyo kweli. Unataka kusema Idd amini aliitwa dictator kwa sababu aliwanyima watu ulaji! Unataka kusema Adolf hiltler aliwanyima watu ulaji! No. Dictator no dictator tu we kwa elimu yako ndogo unaona dictator siyo dictator. Sukulaumu wewe ila hiyo elimu yako ya SAUT imekupumbaza. Njoo udsm uwe critical thinker lakini kama una div one tena pcm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…