Aaronrweumbiza
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 577
- 711
Dr Slàa alikuwa anasema uongo ?Ni rais mpumbavu tu anaweza kuona chama kinaua raia wake akakiacha. Mnapoteza muda tu. Magufuli hakufaa hata kuwa kiongozi wa kijiwe cha kahawa. Alikuwa mtu wa hovyo
Msio na akili hua mnategemea taarifa za kuambiwa.Siyo kweli. Unataka kusema Idd amini aliitwa dictator kwa sababu aliwanyima watu ulaji! Unataka kusema Adolf hiltler aliwanyima watu ulaji! No. Dictator no dictator tu we kwa elimu yako ndogo unaona dictator siyo dictator. Sukulaumu wewe ila hiyo elimu yako ya SAUT imekupumbaza. Njoo udsm uwe critical thinker lakini kama una div one tena pcm
Una elimu Gani we kima? Mi Nina masters ya Telecomunication engineering kutoka CoeT na miaka Ile ulikuwa huwezi kusoma course hiyo bila div one ya point 3 pcm.Msio na akili hua mnategemea taarifa za kuambiwa.
Elimu niliyonayo na vyuo nilivyosoma hakuna mtu kwenye ukoo wenu atakuja kuvisoma. Chuo cha majalalani ndio umesoma halafu unataka ujadoliane na mimi?
Utasikia wanakwambia alikuwa anatukataza kufanya mikutano ya hadhara, alituzuia kutukana mitandaoni, alikuwa anateka watu, anauwa watu, hoja za kipumbavu kabisa.Chini ya Magufuli shirika kama TANESCO liliweza ku-break even na kutengeneza faida pamoja na kuvunja mikataba ya kitapeli kama ya IPTL, Symbioni nk. Miaka 60 tanesco ilikua ni hasara tu ila mdani ya miaka 5 shirika likatengeneza faida. Soma vitabu vya hesabu vya tanesco ana report ya CAG inasema yote.
Makanjanja hawasemi hayo mafanikio makubwa, wao kila siku alikua dikteta, watuambie huo udikteta umetuletea faida gani na hasara gani, wasitaje hasara tu.
Chini ya Magufuli shirika kama TANESCO liliweza ku-break even na kutengeneza faida pamoja na kuvunja mikataba ya kitapeli kama ya IPTL, Symbioni nk. Miaka 60 tanesco ilikua ni hasara tu ila mdani ya miaka 5 shirika likatengeneza faida. Soma vitabu vya hesabu vya tanesco ana report ya CAG inasema yote.
Makanjanja hawasemi hayo mafanikio makubwa, wao kila siku alikua dikteta, watuambie huo udikteta umetuletea faida gani na hasara gani, wasitaje hasara tu.
😂😂, Sawa boss.Una elimu Gani we kima? Mi Nina masters ya Telecomunication engineering kutoka CoeT na miaka Ile ulikuwa huwezi kusoma course hiyo bila div one ya point 3 pcm.
Waulize wakupe idadi ama majina ya waliouwawa na kutekwa utasikia Azory, Sanane, sijui mdude, majina ni hayo hayo tu.Utasikia wanakwambia alikuwa anatukataza kufanya mikutano ya hadhara, alituzuia kutukana mitandaoni, alikuwa anateka watu, anauwa watu, hoja za kipumbavu kabisa.
Akili niliyonayo hata wakichukua ukoo wenu mzima hamuwezi kua nayo.Kwa sababu huna akili ndiyo maana unaandika yasiyokuwa na akili.
Akili inapimwa kwa mijadala kama hii kweli akili zenu hazina akiliAkili niliyonayo hata wakichukua ukoo wenu mzima hamuwezi kua nayo.
Hawa jamaa wanapenda ku generalize vitu bt wao wenyewe wanasikia tu kutoka kwa watu wengine hivyo wanaongea wakiwa hawana uhakika zaid ya assumption tu lakin ukiangalia events zilizo happen kipindi cha our late President vinalingana na awamu zote zilizopita ... I still believe in kuna kitu kipo ambacho hauwezi kusikia wakisema ambacho kina watafuna mpaka leo juu ya JPM instead wanatumia hayo matukio kama kivuli tu bt ukweli wanaujua wao wenyeweTheoretical issue zipi wakati zimesemwa na katibu mkuu, mtendaji mkuu wa chama. That is taken at face value kwa sababu ni first hand information.
Tuanze na mawazo, huyu alikufa hata kabla Magufuli hajawa rais, ilikua kipindi cha kampeni. Hivyo huu ni uzushi tu umeleta.
Ben na Azory, tuseme waliuwawa na Magufuli kama unavyotaka tuamini ila mimi naamini alichosema Dr. Slaa kwamba chama kilikua na kikosi maalumu cha kuua na kuteka hivyo hawa ni victims wa hicho kikosi.
Mdude hana impact yoyote, ni mropokaji tu asie na staha, kinachomgharimu ni matusi, hana nidhamu, hana heshima hata kwa wanaomzidi umri. Ni matokeo ya malezi mabaya, bad parenting.
Lissu, I am sorry kwa kweli kwa jamaa na kilichomtokea, I am glad yuko hai.
So hayo ndio mauaji, utekaji, udhulumu wa pesa kwenye akaunti, kupewa kesi za uongo uliousema mwanzo? I thought una concrete evidences kumbe ni hearsay na uzushi tu.
Mbona kipindi cha kikwete waandishi waliuwawa, walitekwa kina Dr Olimboka na yule mwandishi alipigwa Bomu Iringa na yule dokta wa UD wa katiba sioni ukisema ni dikteta, ama wao hawakua watu wa maana ila kina Azory ndio wa maana sana hadi Magufuli apewe udikteta?
Umetoa ama mmekua mkutoa very serious allegations dhidi ya Magufuli, ukiombwa ushidi majina ni hayo hayo Azory, Mdude, Ben, sijui nani. Stori tu za kutunga na kuzusha zisizo na ushahidi.
Muuaji weweAkili niliyonayo hata wakichukua ukoo wenu mzima hamuwezi kua nayo.
CCM wenyewe hatumuelewi.😆 Sidhani kama Chadema watakuelewa
Genge S najua sasa mna hasira na CHADEMA na Samia. Nawaambia hakuna makanjanja kama nyie. Tangu Magufuli afe mmekuwa kama watu waliochanganyikiwa. Dikteta alitesa na kuua watu wengi huku akihamishia mabilioni China na kwingineko ni suala la muda tu yote yatajulikana. Kwani dikteta Idd Amin na Mobutu walikuwa na uzuri gani isipokuwa kuiba na kuua? Jpm hana tofauti.Ukisikia kiongozi anaitwa Dikteta ujue ameminyia makanjanja wa nchi ulaji.
Makanjanja wa nchi wanataka na wao wapate kula, wafaidi mema ya nchi hivyo humsema kiongozi dikteta kwa sababu amewaminyia ulaji.
Ukisikia makanjanja wanapiga kelele sio kwa niaba ya wananchi, ni kwa niaba yao. Mfano, Gadhafi alikua anaitwa dikteta na makanjanja wa nje na ndani huku akiwafanyia wananchi kila kitu na wananchi hawakua na shida na Ghadafi.
Rais Kikwete aliweza kuishi vizuri na makanjanja wa ndani na nje kwa sababu aliwaruhusu kula nchi, kufaidi nchi huku nchi ikijaa rushwa, utendaji mbovu, uzembe wa watumishi wa umma, wizi, mikataba mibovu, na kila aina ya ujinga. Yeye alifanikiwa kua anawaita makanjanja ikulu wanakunywa juice pamoja, wana 'rub shoulders '.
Magufuli aliwabania makanjanja wetu wa kisiasa, akaelekeza nguvu kwenye ujenzi wa miradi na miundombinu ya kimkakati ya nchi kwa miaka mingi ijayo, miaka zaidi ya 50 ijayo, SGR, JNHP, hospitali kila wilaya, hospitali za kanda kila kanda, maduka ya madawa ya serikali kila wilaya, kila hospitali, miundombinu ya maji, barabara, shule, vyuo, umeme wa elfu 25(hapa tanesco ilijikusanyia wateja 1.2M kwa miaka 5 wakati kwa miaka 60 ya uhuru ilikua na wateja 1.8m tu hivyo kufikisha wateja 3m), kuhamishia serikali Dodoma ku de- conjest mji wa Dar es salaam, umeme kupatikana muda wote, chakula bei rahisi watanzania walikua wanakula milo 3 kwa siku bila wasiwasi na mambo mengine mengi ya msingi.
Cha ajabu makanjanja wanakwambia alikua dikteta, aliminya uhuru wa habari. Sasa uhuru wa habari ungelea hayo maendeleo ama ungejrnga SGR? Watu wanataka maendeleo ama wanataka uhuru wa habari.
Rais Samia ameamua kula na makanjanja, anawaita ikulu wa rub shoulders, huwezi kusikia wanapiga kelele tena kuhusu maisha ya Watanzania. Leo Tanzania maharage kilo moja ni 4,500 hadi 5,000 sawa na kilo ya nyama. Lakini ajabu makanjanja wao wanaongelea udikiteta wa Magufuli.
Naomba kuwakumbusha makanjanja, mkisimama kusema udikiteta wa Magufuli pia semeni na mazuri aliyoyafanya ndani ya huo udikiteta wake, semeni alikua dikteta sana hadi kujenga SGR ama JNHP, sio tu kusema Dikteta.