Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Wale wameamua kujidhalilisha Yani komando anapasua mawe ndio kweli kitu Cha kutuonyesha au kudhalilisha mafunzo ya ukomando?Na wale wanaopasua tofali pale uhuru ni kina nani mkuu?? Na wanavyeo gani huko jeshini maana huitwa makomando!!
Mtu anashuka na kamba kwenye ndege (helicopter) ndio ukomando??? Kuna mambo mengi hata sioni sababu kwa nini umdhalilishe komando pale uwanjani hao watu mafunzo yao ni kitu kingine kabisa sio kubeba mizigo Kama wamachinga wa stendi ya Magufuli.
Mafunzo yao ni tofauti kidogo na hayafai kuonyesha raia wa kawaida wanaweza kuogopa tukakosa watu wakakamavu watakaokubali kujiunga na hii special unit ya jeshi.
Sioni sababu kwa nini wanawaleta pale kuvunja mawe na kujipaka masizi Kama vichaa wakati ni unit inayoheshimika sana jeshini.