Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #41
Ngumu kupata now days
Kwanza wataalam wengi hawapona miti mingi ya asili imepotea kwenye pori la VIGWAZA wilaya KIBAHA kulikuwa na MITI yenye TIBA mbalimbali lakini now pori lote limeondoka ni MAJUMBA TUPU na ukikuta PORI limeshauzwa hvyo mnunuzi anafyeka
hvyo ule UHARISIA umepotea
Babu yangu now ana miaka 102
Kapooza Kila kitu hata kuona aoini YUPO kitandani mwaka wa 10 huu Kila siku tunasema atakufa Leo hatakufa kesho zaidi tunakufasie vijana yeye tunamuacha
HAwa wazee wa zamani KONYO sana
Kwangu Mimi naona haifai kabisa.Daaah hii ni nzurii ilaa kuna muda inakeraa kwa watu wanaomwangalia
Ukitoa code ya dawa hiyo utatajirika ndani ya dk7 tuKuna dawa ukitumia ukiwa kijana, unakaa na ukijana wako kwa mda mrefu bila kuzeeka.
Mkuu ukifa mke wako ataolewa tuu...Wewe unakataliwa mapema labda uanze kunipa hogo Mimi niache wosia wa kuku direct wewe tu😂
Prelude to Negotiations; Ngumu haimaanishi haiwezekani..., Ndio hapo nikasema watu wasipokuwa macho watashangaa wanapewa dawa alafu wanakufa baada ya miezi tu kwa akaunti zao kupata utapiamlo baada ya kununua dawa ya kutokufa....Ngumu kupata now days
Kwanza wataalam wengi hawapona miti mingi ya asili imepotea kwenye pori la VIGWAZA wilaya KIBAHA kulikuwa na MITI yenye TIBA mbalimbali lakini now pori lote limeondoka ni MAJUMBA TUPU na ukikuta PORI limeshauzwa hvyo mnunuzi anafyeka
hvyo ule UHARISIA umepotea
Babu yangu now ana miaka 102
Kapooza Kila kitu hata kuona aoini YUPO kitandani mwaka wa 10 huu Kila siku tunasema atakufa Leo hatakufa kesho zaidi tunakufasie vijana yeye tunamuacha
HAwa wazee wa zamani KONYO sana
Nakufa nae basiMkuu ukifa mke wako ataolewa tuu...
Mamba tunatukana na mto tunavuka
😂😂😂 Kwanza Haina faida hii dawaPrelude to Negotiations; Ngumu haimaanishi haiwezekani..., Ndio hapo nikasema watu wasipokuwa macho watashangaa wanapewa dawa alafu wanakufa baada ya miezi tu kwa akaunti zao kupata utapiamulo baada ya kununua dawa ya kutokufa....
Kwanza proses yake ndefu BINAFSI mm nilikataaPrelude to Negotiations; Ngumu haimaanishi haiwezekani..., Ndio hapo nikasema watu wasipokuwa macho watashangaa wanapewa dawa alafu wanakufa baada ya miezi tu kwa akaunti zao kupata utapiamulo baada ya kununua dawa ya kutokufa....
Kuna madawa mengine huwa wanachanjiwa yanaitwa bolaboka sema bhulabuka changanya na makorokoro mengine, hii ni konki hata agongwe na train 🚆 anatoka mzimaZipo hasa usukumani .
kuna kabibi kalioza Hasa hadi funza hakakukata moto.
Sijui walifanyaje ndo kakazima
Ahahaha utatumia Bhufakale ili uendelee kulinda mali yakoNakufa nae basi
Kuipata ndo mtihani shida utapeli na uhuni mwingiAhahaha utatumia Bhufakale ili uendelee kulinda mali yako
Duuh Mimi Kuna mwizi nilishuhudia mwaka 2003 wamepiga Hadi wakachoka wakiwasha moto na mafuta ya taa moto hauwaki badae kabisa wamechoka kabisa jamaa ndo kawaambia pigeni kivuli changu.Kuna madawa mengine huwa wanachanjiwa yanaitwa bolaboka sema bhulabuka changanya na makorokoro mengine, hii ni konki hata agongwe na train 🚆 anatoka mzima
Kile wanachoamini wenzio acha waamini hivohivoingekua inazuia kufa ndio ajabu,lakini kuchelewa kufa sio issue.
Mwaka 2003 jambazi aliwaambia wapige kivuli chake ndo afe na kweli alikufaKwanza proses yake ndefu BINAFSI mm nilikataa
Moja ya SHERIA KUU ukubari kuwa wewe ukishakufa JEHANAMU ndo mahari pako na KIFO chako ni Cha SHIDA mno na MATESO
Hii dawa ndio walikuwa 2anatumia MAJAMBAZI au WEZI wa zamani mnamchoma moto anakuwa mweusi lakini Bado yu hai
Ndo mnasikia watu wakisenq mnaambiwa huyu afi mpk ateme HIRIZ
Zipo mmekuwa juzi hamtaki kufika kwenye koo kujionea mamboHabari za Leo mabibi na mabwana.
Mnamo 14/05/2024 tulimzika mzee mmoja kijijini kwetu jina (..)
Mzee yule alikuwa amemuoa shangazi yangu Mimi. Chanzo Cha kifo chake ni ugonjwa wa kisukari uliodumu Kwa muda mrefu.
Baada ya kuzunguka huku na huko na hospital mbalimbali kutafuta matibbu ya ugonjwa huu na kudanganywa na Kila aina ya wanatiba asilia kuwa wanaponesha.
Hatimae mzee huyu alizirudia tiba za hospital (vidonge).
Ikumbukwe mzee huyu kaugua kisukari zamani kidogo ni zaidi ya miaka 10 ana kisukari.
Hadi mwishoni mwa mwaka 2023 Hali yake ilizorota sana na kuandamwa na magonjwa mbalimbali.
Mapema mwezi wa kwanza mwaka huu walimpeleka sengerema mission na kupewa rufaa Hadi bungando.
Na walipofika pale wakakutana na bro yangu yupo hapo (Dr)
Baada ya vipimo kufanyika waliambiwa in,Figo nk havifanyi kazi Tena hivyo wakaambiwa warudi wasubiri lolote(kama mnavyojua kauli hii humanisha kifo)
Yule kaka akawaambia mlichoambiwa ni sahihi kuliko kusafirisha maiti ni Bora msafirisheni ingali Bado Yu hai.
Nifupishe kisa hiki
Mwezi wa pili baada kwenda kijijn nikaona ni Vyema na haki Nami nikamuone huyu mgonjwa.
Nikafika nikamkuta mgongwa anakula Kwa mrija ametibolewa hivyo uji unapita Kwa mrija na kukojoa pia anakojoa Kwa mirija.
Kwakweli Hali yake haikuwa nzuri Wala hakuna matumaini kabisa.
Daima ndg wa karibu walikuwa wanakaa hapo nyumbani wakisubiri Kila anaye Toka ndani awaambie lolote.
Niliondoka nikiwa najua kabisa Kwa Hali hii mzee wetu huyu siku3 hatoboi.
Mwezi wa 1 ukakata wa pili ukakata watatu na wanne pia ukaisha Ngoma bila bila.
Madaktari wenyewe walikuwa wanashangaa sana. Kila wanapokuja.
Ilifikia kipindi hata kula Hali Wala kunywa maji hanywi.
Lakini kufa hafi. Hadi tarehe 9/5/2024 Watoto wakakaa kikao wakasema jambo hili sio sawa jamani hii haiwezekani Wala hatujawahi ona.
Ndipo wakasema aitwe mmoja wa baba zao wakubwa kwenye ukoo wao nae ni mzee sana kwenye miaka 87+ Hivi.
Baada tu ya kufika pale wakamueleza Hali ILIVYO ndipo akawapa Siri hii..... ....
Akawaambia walichanjwa dawa inayoitwa "BHUFAKALE" Hii ni Kwa kisukuma tafsiri yake kufa zamani.
Ndipo wakaambiwa kuwa nendeni mkamtoe kwenye nyumba ya bati mwekeni kwenye nyumba ya nyasi mlazeni humo halafu mbomoeni (waezue zile nyasi juu ya paa)
Iwapo atapata mwanga wa jua tu(kivuli Cha jua) atakufa muda huohuo hatachukua muda na kama Hana hiyo dawa basi mtamrejesha kwenye nyumba ya bati.
Kweli baada ya kutoka huko hawakuchukua muda wakamtoa na kumuingiza jikoni maana ndo nyumba ya nyasi pekee ilikuwa imebakia pale.
Ilipofika saa 3 asubuhi ya tarehe 12 mzee akafariki ni baada tu ya kupata huo mwanga wa jua.
Hii ni ngumu kidogo kuamini wale wa Kwa mwamposa, Baraka, mzee wa upako, Malisa l, kiboko wa wachawi nk.
Mzee alikuwa mfugaji mkubwa sana.
Siku ya mazishi 14/5/2024
Nikabahatika kuonana na mzee mmoja wa makamo nikaanza ulizia hii imekaaje na Nini faida yake?
Aliniambia mengi lakini Kwa kifupi tu alisema kuwa
Wazee wa zamani walikuwa na Imani ya kwamba akiwa na hiyo dawa kwanza inaendana na Baraka na laana
Akikubariki amekubariki na utafanikiwa pia akikulaani wewe umelaanika yamkini hata ungeoga mafuta ya mwamposa Bado laana yake isingekutoka.
Pili akasema waliamini akichelewa kufa manake atakula mali yake vizuri Hadi anakufa kashabakiza kidogo tu.
Maana yeye anakuwa anajua kabisa kuwa huenda ugonjwa huu ndo utaniondoa ila Kwa sababu ya dawa hii niliyochanjiwa Wacha Nile Mali zangu.
Je ulikuwa unalijua hili mwana JF?
MWISHO.
Nakubali mkuuKuna ndugu yake Mkwawa Wajerumani walivyomkamata wakataka kumuuwa kwa risasi hadharani cha ajabu risasi zote zilikuwa zinateleza mpaka wakatumia njia ya kumnyonga ndio akafa.
Hata vita vya majimaji nadhani yule mtaalam alikuwa magumashi tu lakini hizo dawa zilikuwepo kweli.