Wazungu huko kwao wanahangaika na matechnolojia ya kuunda uhai ama jinsi ya kuzuia kifo, bila kuju hizi Technolojia tayari zipo afrika tangu zamani sana, alafu utawaona hawa wapumbavu watumwa ya hizo imani za wazungu wakidhihaki tiba asilia za kiafrika.
Ukweli ni kwamba kama tungezirudia asili zetu tungesolve matatizo mengi sana yanayotusumbua kuanzia kiuchumi, kiafya, kijamii mpaka kiimani, kwakua tumeegemea ktk mifumo ya wazungu&waarabu acha maisha yatunyooshe, wakaati huo hao watu weupe huja afrika kwa mwamvuli wa utalii&kutoa misaada kumbe wanatufanyia Umafia, kuSpy kujua ni vitu gani ambavyo tunavijua na wao hawavijui wanarudi kuzimalizia zile siri na technolojia ambazo hawakuiba kipindi cha ukoloni, ndiomaana wakija Afrika hupenda kufikia ktk jamii zinazofuata taratibu za kimila na sio huko mijini mlikojazana.
Wazungu si wajinga kujifanya kuwapenda hao wamasai ama jamii za kiafrika zinazoishi huko vijijini, wanajua kuna vitu wakivicopy wakirudinavyo makwao wanaviendeleza alafu wakifanikiwa wanajiita wao wagunduzi la zaidi gunduzi hizo wanawauzia waafrika vilaza kwa mamilioni ya Dollars na mikopo ya kishenzi.
Turudi ktk Uasilia wetu, na haya matatizo yote yatakwisha.