Komeo Lachuma JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 7,926 Reaction score 17,030 Jul 5, 2024 #161 Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Mjinga mjibu sawasawa na ujinga wake. Ova. Click to expand... Sawa nitaanza kuwa nafanya hivyo.
Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Mjinga mjibu sawasawa na ujinga wake. Ova. Click to expand... Sawa nitaanza kuwa nafanya hivyo.
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Jul 5, 2024 Thread starter #162 Alikuwa kiboko huyu
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Jul 5, 2024 Thread starter #163 incredible terminator said: Sumple tu muingizeni ndani kisha mkokee moto kwa jiko la mkaa kisha fungeni milango na madirisha muacheni Babu wawatu apate joto kidogo kesho yake mfungulieni mtakuja kunishukuru mtakuta keshapona mda sana.. Click to expand... πππ Kwahiyo wambanike kama kambale
incredible terminator said: Sumple tu muingizeni ndani kisha mkokee moto kwa jiko la mkaa kisha fungeni milango na madirisha muacheni Babu wawatu apate joto kidogo kesho yake mfungulieni mtakuja kunishukuru mtakuta keshapona mda sana.. Click to expand... πππ Kwahiyo wambanike kama kambale
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Jul 5, 2024 Thread starter #164 kina kirefu said: Umemkosea sana Kumwita mzee fulani wakati ni mjomba Mtu ,aliyeoa shangazi yako ni mjomba wako Sawa Click to expand... Bado kuitwa mzee ni heshima kubwa pia
kina kirefu said: Umemkosea sana Kumwita mzee fulani wakati ni mjomba Mtu ,aliyeoa shangazi yako ni mjomba wako Sawa Click to expand... Bado kuitwa mzee ni heshima kubwa pia