Ukisikia kujilipua ndo huku. Ml 60 hisa za CRDB bank, liwalo na liwe!

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
1,834
Reaction score
4,161
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
 
CRDB wanafanya vizuri sana, kuwekeza kwa hawa jamaa hujapoteza. Performance yao inapanda kila leo
ukata wa dola umewangusha sana mwaka jana, kazi kwa mazoea bila kujari wateja kunaenda kuwaangusha pia

kifupi wafanya kazi wa CRDB hasa mameneja hawajishughulishi tena wanahisi wamemaliza kazi

naiona NBC inakuja vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…