Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejilipua kweli maana kuuza ndio akili itakukaa sawa kama una pesa ya mawazoWakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
Nmb plc wanafanya vizuri ila crdb plc wanacheza na price not really trust me. Yaani mwenye hisa 1000 nmb anapata zaid same thaman kubwa kuliko mwenye hisa 1000 crdb plcCRDB na NMB wanafanya vizuri sana DSE
Ni issue ya calculation tu ie hisa 1000 NMB * 5900 = 5,900,000 while hisa 1000 CRDB * 760 = 760,000 huoni utofauti hapo? Divient ukinunua hisa za CRDB mwaka huu kwa 5,900,000 ÷ 760 =7763 × 67 = 520,121 while NMB with same amount Utapata hisa 1000 * 360 = 360,000. Chaguo ni lakoNmb plc wanafanya vizuri ila crdb plc wanacheza na price not really trust me. Yaani mwenye hisa 1000 nmb anapata zaid same thaman kubwa kuliko mwenye hisa 1000 crdb plc