Ukisikia kujilipua ndo huku. Ml 60 hisa za CRDB bank, liwalo na liwe!

Ukisikia kujilipua ndo huku. Ml 60 hisa za CRDB bank, liwalo na liwe!

Unawekaje booking mkuu
Fungua app ya DSE hisa kiganjani then nenda Buy stock chagua kampuni uipendayo na bei yake iliyoainishwa, ulimaliza itakuletea control no then lipia. Subiri kwa kwa manunuzi ya siku za kazi yaani jtatu hadi ijumaa mda ni kuanzia saa nne hadi saa 10 zitakuwa zimefanyiwa kazi
 
Mkuu usinifanye nkauze nyumba mbili za URITHI nizilizopewa maana HATA sizielewi wapangaji WALIpe wanapojisikia woii
 
Mkuu kwa nilichokisoma million 60 kwa Mwaka WANAKUPA 5.5 mil..kama n sawa bado sijaweka ngoja nizungushe kwanza
 
Ubaya wa hisa kwenye kuuza yaani utaweka order kila order wanareject
 
Hivi nikiwa na hisa za CRDB naweza chukua mkopo CRDB kwa dhamana ya hisa hizo?
 
Back
Top Bottom