Ukisikia kujilipua ndo huku. Ml 60 hisa za CRDB bank, liwalo na liwe!

Ukisikiliza ya watu yatakukatisha tamaa. Chamsingi soma ramani vizuri jilipue. Kupata na kukosa ni matokeo
Mwakan siku kama ya leo naomba inshallah tukiwa hai naomba usisahau kutuma mrejesho wa ongezeko la pesa au gawio na ufanye mahesabu kama the same pesa ingekuwa utt ingekuwa imeongezeka kias gan tuone wap kuna afadhali ila mhh all the best
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
Sijui riba zao zikoje, ni bonds au hisa tu?

Mimi kwa mtonyo huo ningelenga zile za Benki Kuu nilipita kwenye banda lao SabaSaba nikakuta vitu vya ukweli sana
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
Acha uwoga utafaidika tu spot trading ni easy ukiwa patient.. Na ikiamini ktk iyo kampun next 10yr..
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
DOnt put all eggs in one basket.....
Ungeweka Half kwenye Hisa na another half kwenye Bonds.
 
Back
Top Bottom