Ukisikia kula tunda kimasihara ndiyo hii sasa!!!

Ukisikia kula tunda kimasihara ndiyo hii sasa!!!

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Kijana mmoja huko buza kwa mpalange amejikuta akitunukiwa tunda kimasihara bila kutoa hata senti tano.

Dah,, ila hizi bahati mbona hazijawahi kunikuta ona sasa mpaka nimesha owa.,๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

 
Hiyo ni planned kabisa siyo masikhara na nahisi wapo kwenye mahusino, maana siyo rahisi mtu hata hamjazoeana aje akushike/kukutania hivo no , ila huyo anayecheka ndiye kanichekesha mimi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Maigizo haya kwenye reality show pisi ingehamaki balaa baada ya msela kushika taarabu
Mbili asinge vutana na nguo huku anaona kabisa anavutiwa ndani
Tatu na mwisho hiyo kuvua mpaka viatu inanifikirisha sana
 
Kama una msambwanda kama huyo Chichi jaribu hilo kwa jirani yako wa kiume uone kama hutavutwa ndani๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom