Ukisikia legacy ndiyo hii sasa

Ukisikia legacy ndiyo hii sasa

Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?

Unakazwa na uviccm
 
Nitajie mambo mawili tu lumumba aliyoya fanya congo?
 
Bure kabisa,hachafuki.
Na bado mtaaibika Sana.
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?

Huku kwenye dunia ya mitandaoni, ni kweli hana legacy. Lakini ukienda kwa wananchi mitaani kwa waTanzania, ukitoa hii kauli yako, utapigwa mawe ufe.
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Kumwandika kutwa ni legacy tosha maana kutwa MWAMBA mnahangaika kumchafua.
 
World bank fund, DMDP project, wajinga kama wewe mpo wengi msiyojuwa lolote.

Ni Kikwete administration ndio hizo project zilikuwa raised, na utekelezaji ndio ukaangukia kipindi cha dikteta uchwara.
Hata hivyo ungekuwa wewe ungetekeleza?
 
Hata nafsi yako inafahamu kuwa haya maneno huwezi yatamka mbele za watu.

Ni JF tu ndio utasoma mambo kama hayo.
 
Back
Top Bottom