Ukisikia legacy ndiyo hii sasa

Ukisikia legacy ndiyo hii sasa

ila hii nchi ina watu wa hovyoo.

imagine hii comment inatoka kwa member wa JF.

Hopeless kbsa.

hyo bei ya sembe laki 1 mama yako angeinunua kipindi unanyonya ???

Nchi ya wajinga hii
Wewe ndiye mjinga kumtukuza muuaji, mporaji, mtekaji na mtukanaji. Bora kafa kifo cha aibu.
 
Kwani serikali kuhamia Dodoma kuna faida Gani serikali bado ipo dar ndugu dodoma Kule vikao vya Chama system yote ipo dar vp wa america ungemwona chamwino lakini kafikia dar kaondokea dar
Kwanza ilikuwa ni ujinga ktk zama hizi kuhamia Dodoma kwa sababu za miaka ya 1970.

Miaka hiyo usafiri ulikuwa tabu ndiyo maana ikaonekana kuweka makao makuu katikati ya nchi ilikuwa muhimu. Lkn siyo ktk zama hizi.
 
Tatizo lako unaandika vitu halafu hujawahi kuvuka border. West Africa wanamjua Magufuli kuliko hata Tanzania yenyewe.
Nyooo! Kwa lipi? Labda wanamjua kwa maovu ya kupora, kuiba, kuteka na kupiga watu risasi.
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
JPM alikuwa economic and revolutionary leader ndo maana viongozi wengi wa Africa wanajitahidi kuiga. Anakubalika Sana kwa nchi karibu zote Africa na Tanzania kasolo wewe mwenye chuki binafsi, angalia sasa mambo yalivyo linganisha na kipindi cha JPM wanaofaidi sasa hivi ni wale walioko kwenye circle. Karibu 90% wananchi wa kawaida Ni njaa na shida tupu.
 
Nyooo! Kwa lipi? Labda wanamjua kwa maovu ya kupora, kuiba, kuteka na kupiga watu risasi.
Tembea upate exposure, Waafrika wanamtambua na wanamkubali. Wakina JK, Lissu, Mbowe, Sa100 umaarufu wao unaishia hapo Kenya.
 
Mpuuzi yule alikuwa anatuingiza mjini kwa kutaja namba za uwongo
Tatizo lako wewe ni local huwezi kuona vitu kwa mapana. Hao viongozi wote walikuwa wanajua ukweli lakini Magu alikosea kuingilia maslahi yao hata sisi kuna mahali alituingilia na nilimuona alikuwa very unreasonable na angendelea na mimi ningekuwa upande wako (kwasababu za kimaslahi) lakini kwa ujumla hii nchi aliiweza .
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Muda utakupa majibu na hauto amini
 
Mbwiga umesahau post yako #24 ndiyo umeanza matusi mimi nimekujibu tu sawa sawa na ujinga wako .

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app

Chief, I know you well! Our false names should not make us enemies, I ask that we respect each other chief

Najitahidi kweli ili tusikwazane aisee, Lakini kila nikijitahidi hautaki hata kuelewa Mkuu!

Siyo mbaya! Endelea nami nitajitahidi kukukwepa, huko tuendako sasa itanibidi nijitambulishe live kwako ambapo nadhani haitakuwa vema sana chief
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?

Mfanyakazi hewa na propaganda zako
 
Yes! Na walikufa! Go read your damnit bible. It is all written there!
Una hasira kweli! Duuuuu, "Na walikufa" kuumbe, Watu wakiuwawa huwa wanakufa!
Hiyo pekee inaonyesha ni jinsi gani mna hasira na wafu, ni kawaida....its called grieving Pole, nakushauri utafute suluhu uwe na amani.
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?

Ok very well ! But how is DRC today ? Economically, socially and politically despite so many capitals of the world bearing his name ? I fully agree he was a true fearless fighter though.
 
World bank fund, DMDP project, wajinga kama wewe mpo wengi msiyojuwa lolote.

Ni Kikwete administration ndio hizo project zilikuwa raised, na utekelezaji ndio ukaangukia kipindi cha dikteta uchwara.

I wish ningekua nasikia jinsi unavyomfokea huyo jamaa ! Duuu !
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Mbona kama umechafukwa vilivyo leo,kunani tena🤔
 
Chief, I know you well! Our false names should not make us enemies, I ask that we respect each other chief

Najitahidi kweli ili tusikwazane aisee, Lakini kila nikijitahidi hautaki hata kuelewa Mkuu!

Siyo mbaya! Endelea nami nitajitahidi kukukwepa, huko tuendako sasa itanibidi nijitambulishe live kwako ambapo nadhani haitakuwa vema sana chief
Lakini wewe ndiye ulianza matusi mbona kwenye mada nyingine tunakwenda sawa tu? Karibu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kama ben saa nane angekuwa ndugu yako usingeandika haya. Ubinafsi na ujima kama marehem muuaji vinakusumbua. Ila roho yako inakuhukum kuwa kuua kwa vile ni kubaya!
Bora lingekausha hazina lakin watu wakabaki na uhai wao.
"..injustice for one is injustice for all"
Ben saa nane yuko kwa mwenyekiti wake anajua
 
Back
Top Bottom