Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Is there any landmark named after him?I don't need to, kata ticket na visa ingia Senegal, Ghana, Nigeria, Gambia na Cameroon utakuja na majibu.
Bahati mbaya umaskini wako ndio ujinga wako.Is there any landmark named after him?
Anyway, if you can't bring any proof then you are in the same pot
Na hao jamaa mpaka Leo wameachwa njia panda hawaamini na hawajui waende wapi ila Ole wao wamtumainio mwanadamu Kwa kumfanya ngao yao na ukijikweza utashushwa Tanzania ilifika Mahala watu wanalitukuza jina la mtu kuliko la Muumba waoYule JPM angedumu miaka 7 hadi 10 kwenye utawala wake kila kitu nchini kingepewa jina lake na vingine majina ya machawa wake!
Unatafuta jengo mkoani unakuta linaitwa Paulo Makonda House... Au barabara wilayani inaitwa Sabaya Rd.
Hiyo ni ishara kuwa hakustahili kuwa kiongozi!
Na hapo hakwambii research ni ya lini, kafanya nani, kafanyia wapi na wapi!Yaani siku nilimsikiliza nicheka nikawaambia stuff wenzangu hakuna mtu mwongo kama huyu jamaa ujuwe idadi ya samaki bahari ya Tanzania wakati samaki mmoja uweka mayai zaidi ya mia Tano mdomoni mwake eti sifurii point sifuri.. point Tisa na wabunge washangilia
Ujinga siyo tusi.Bahati mbaya umaskini wako ndio ujinga wako.
Ila alikuwa na roho mbaya sikuwahi kuona akaweka chuki Kwa wachaga utadhani wachaga walikuwa na visa naye mpaka Mimi nikajuuliza huyu broo wachaga wamemkosea NiniNa hapo hakwambii research ni ya lini, kafanya nani, kafanyia wapi na wapi!
Nijuavyo samaki wanazaliana kila kukicha!
Uongo, misifa, ukatili na ujuaji ni miongoni mwa vitu vilinifanya nianze kumuombea mabaya!
Imagine!Tanzania ilifika Mahala watu wanalitukuza jina la mtu kuliko la Muumba wao
Ila alikuwa na roho mbaya sikuwahi kuona akaweka chuki Kwa wachaga utadhani wachaga walikuwa na visa naye mpaka Mimi nikajuuliza huyu broo wachaga wamemkosea NiniNa hapo hakwambii research ni ya lini, kafanya nani, kafanyia wapi na wapi!
Nijuavyo samaki wanazaliana kila kukicha!
Uongo, misifa, ukatili na ujuaji ni miongoni mwa vitu vilinifanya nianze kumuombea mabaya!
That's where you are wrong, mimi nazurula dunia kila mwaka na mtazamo wa kidunia. Wewe unatoa maoni yako kwenye lense ya Tanzania na google tu. Huwezi kunielewa sababu una lack exposure na siyo kosa lako.Ujinga siyo tusi.
Na kuishi Tanzania kwenye nchi masikini wewe pia bado ni maskini. Ila wewe umezidi make umeanzia kichwani
Kiukweli wasukuma (Sukuma gangs) wengi wanawachukia wachaga. Na walikoleza hiyo chuki kupitia kwa JPM!Ila alikuwa na roho mbaya sikuwahi kuona akaweka chuki Kwa wachaga utadhani wachaga walikuwa na visa naye mpaka Mimi nikajuuliza huyu broo wachaga wamemkosea Nini
Muongezee na daraja la wami wakati zamani akienda kwao huko akifika pale wami ya zamani konyagi zote zilikuwa zinamuisha kichwani mimacho inamtoka sasa hivi wanateleza tu kwa hisani ya Magu.Kwahiyo unataka kusema na Daraja la Busisi, JNHP, Dodoma City ni WB, DMP, na hiyo DMP ndio ime extend kila mkoa na kila wilaya ndugu mjanja?
Au ni hate agenda.
Soma Kutoka na Wafalme uone jinsi MUNGU alivyoweza kuwanyanyua na kuwatenda viongozi walioenda kinyume.Mungu wako ni dhalimu.
JOSHUA 24:15
Tanzania mbegu ya ukabila ilikuwa imeanza ila Mungu husikia kilio Cha watu wakeKiukweli wasukuma (Sukuma gangs) wengi wanawachukia wachaga. Na walikoleza hiyo chuki kupitia kwa JPM!
Hivi bureau de change za Mwanza pia zilivamiwa na wanajeshi wezi?
Je, migodi ya Geita nayo ilizingirwa?
Je, wawekezaji na vitega uchumi Mwanza, Geita, Kahama viliyumbishwa kama kule Arusha na Moshi?
Dalili za ujinga... Kaangalie miundombinu ya ovyo kule Chato ndo utajua kuwa JPM hakuwa timamu!Muongezee na daraja la wami wakati zamani akienda kwao huko akifika pale wami ya zamani konyagi zote zilikuwa zinamuisha kichwani mimacho inamtoka sasa hivi wanateleza tu kwa hisani ya Magu.
JPM mwenyewe alikuwa mmiliki wa vyeti feki.Unafikiri utatutoa ili tusimwamini JPM, Chuma aka Mwamba. Nakushauri achana na mtu wetu tuliyemshimu sana. Aibu iliyokupata kwa kuwa na cheti feki inakusumbua.
😇Soma Kutoka na Wafalme uone jinsi MUNGU alivyoweza kuwanyanyua na kuwatenda viongozi walioenda kinyume.
Wengine aliwalengesha wauwawe kutokomeza utawala wao!!
Yes! Na walikufa! Go read your damnit bible. It is all written there!😇
Ati wauwawe
Ila Mimi nimegundua wengi wanaomsifia mwendazake ni vijana wenye umri mdogo na SoMo la history hawakusoma na hawajui Tanzania awamu zote sita hajui watawala walifanya mambo yapi wanamsifia mmoja kanakwamba walio mtangulia hawakufanya lolote Mimi awamu zote nimezishuhudia kwa mazuri na mabaya ila awamu ya tano mabaya yalizidi mema Tanzania awamu zilizipita zimefanya kazi kubwa lakini Leo anasifiwa mmoja zamani watu wa Lindi na mtwara wameteseka kabla ya daraja la mkapa mfanyakazi akipangiwa mtwara au lindi kilioMuongezee na daraja la wami wakati zamani akienda kwao huko akifika pale wami ya zamani konyagi zote zilikuwa zinamuisha kichwani mimacho inamtoka sasa hivi wanateleza tu kwa hisani ya Magu.