butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Wewe Kilaza huyo ni hadhi ya kina Nyerere siyo Magufuli.Lumumba was a freedom fighter!Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!
View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.
Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??
Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Magufuli naye atakuja kuzungumziwa na kizazi kingine kama unavyomzungumzia Lumumba leo.
JPM kafanya yake kasepa, tuendelee na Mama yenu!