Ukisikia legacy ndiyo hii sasa

Ukisikia legacy ndiyo hii sasa

Kwangu mm uhai ni bora zaidi kuliko ktu kingine. Nafurahi Sasa
..watu hawatekwi tena,
..watu hawaporwi tena,
...watu hawapigwi risasi tena,
..atu hawaokotwi kwenye viroba tena.

Hata kama tutanunua kilo moja ya sembe kwa laki moja kama hayo maovu niliyoyataja hapo juu hayapo kwangu mm haina shida.

ila hii nchi ina watu wa hovyoo.

imagine hii comment inatoka kwa member wa JF.

Hopeless kbsa.

hyo bei ya sembe laki 1 mama yako angeinunua kipindi unanyonya ???

Nchi ya wajinga hii
 
MUANZISHA UZI HUWEZI UKAFUTA LEGACY YA JIWEE!!!

he is the iron fist, legende of all legends

HAKIKA JPM NI MWAMBA WA WATANZANIA
 
But man,

At least he showed us how the country can be governed...

Hizo barabara wilayani na taa za mitaa uliziona lakini
Sasa ukizingumzia waliojenga barabara nchi hii utamtaja magu au jakaya!?...magu hata 1000km hafikishi
 
Ata Serikali kuamia Dodoma na Ujenzi wa Stieglers uliasisiwa na Mwalimu Nyerere ila alitekeleza Dikteta,wanademokrasia wako walishindwa!
Kuhamia Dodoma Kuna tija gani kivyovyote vile!?..stieglers ni upuuzi wa kiuchumi ambao taifa haliepuki kuukamilisha
 
Huyu Mwamba kateswa na Wazungu, Magufuli alikuwa anatesa Watanzania wenzake. legacy Lumumba imeandikwa mpka mbinguni.
Legacy ya mzarendo uchwara
1679652251550.jpg
JamiiForums839866055.jpg
img_12_1680413594508.jpg
Screenshot_20201102-181842.jpg
JamiiForums-93732544.jpg
IMG-20200403-WA0003.jpg
IMG-20191216-WA0002.jpg
IMG-20191216-WA0000.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Chadema wajinga sana, nyinyi kama chama mna nini cha kujivunia? Matusi siyo?

JPM, siyo mandishi na uwongo wa kulipia utakaomchafua!

Mtaandika maneno yoote, mtajibiwa na JKNHP peke yake!

Pumbavu zenu kabisa
Pumbavu mwenyewe na ukoo wako wote. Chadema inahusika wapi hapa badala ya kumjibu mleta hoja.[emoji304][emoji304] mkubwa wewe

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Mkandarasi wa mmabarabaraa anayataja yote eti kunakipindi ametaja idadi ya samaki baharini wabongo bwana Hadi senza ya samaki
 
Ata Serikali kuamia Dodoma na Ujenzi wa Stieglers uliasisiwa na Mwalimu Nyerere ila alitekeleza Dikteta,wanademokrasia wako walishindwa!
Kwani serikali kuhamia Dodoma kuna faida Gani serikali bado ipo dar ndugu dodoma Kule vikao vya Chama system yote ipo dar vp wa america ungemwona chamwino lakini kafikia dar kaondokea dar
 
Mkandarasi wa mmabarabaraa anayataja yote eti kunakipindi ametaja idadi ya samaki baharini wabongo bwana Hadi senza ya samaki
Yule jamaa alikuwa muongo sana. Sema watanganyika ukitaka kuwa win uwe comedian mpenda sifa!
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Tatizo lako unaandika vitu halafu hujawahi kuvuka border. West Africa wanamjua Magufuli kuliko hata Tanzania yenyewe.
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Aisee tuwe tunaweka akiba ya maneno
 
Yule jamaa alikuwa muongo sana. Sema watanganyika ukitaka kuwa win uwe comedian mpenda sifa!
Yaani siku nilimsikiliza nicheka nikawaambia stuff wenzangu hakuna mtu mwongo kama huyu jamaa ujuwe idadi ya samaki bahari ya Tanzania wakati samaki mmoja uweka mayai zaidi ya mia Tano mdomoni mwake eti sifurii point sifuri.. point Tisa na wabunge washangilia
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Yule JPM angedumu miaka 7 hadi 10 kwenye utawala wake kila kitu nchini kingepewa jina lake na vingine majina ya machawa wake!
Unatafuta jengo mkoani unakuta linaitwa Paulo Makonda House... Au barabara wilayani inaitwa Sabaya Rd.
Hiyo ni ishara kuwa hakustahili kuwa kiongozi!
 
Back
Top Bottom