Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Ukiona Lori la mafuta limedondoka karibu yako unapata taswira gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we akili yako sikuwez
Nanyonya mafuta kwa kuzingatia yafuatayo.
1: nahakikisha nachota mafuta bila kumwagamwaga ovyo.
2: Nahakikisha hakuna chacho chochote cha moyo ama shughuri yoyote inayowezeshwa na moto karibu na tunapochotea wese.
3: Nahakikisha betri haiguswi na kiumbe yeyote kwenye uchotaji. Yaani bora nifungwe kifungo cha maisha kwa kumuua mtu aliyesogelea betri kwenye uchotaji wa wese.
4: Kuhakikisha tunafanya faster kabla police hawajaja maana wanaweza kutusambaratisha kwa mabomu wakatj lile gari ni nuklia tayari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nanyonya mafuta kwa kuzingatia yafuatayo.
1: nahakikisha nachota mafuta bila kumwagamwaga ovyo.
2: Nahakikisha hakuna chacho chochote cha moyo ama shughuri yoyote inayowezeshwa na moto karibu na tunapochotea wese.
3: Nahakikisha betri haiguswi na kiumbe yeyote kwenye uchotaji. Yaani bora nifungwe kifungo cha maisha kwa kumuua mtu aliyesogelea betri kwenye uchotaji wa wese.
4: Kuhakikisha tunafanya faster kabla police hawajaja maana wanaweza kutusambaratisha kwa mabomu wakatj lile gari ni nuklia tayari
😂😂😂😂 WAVUTA SIGARA MARUFUKU KUSOGEA!Unachota wese bila kuchomoa betri
Kabisaa watu hawaogopiIla wahangaza kule Ngara - Kagera wana roho ngumu hata wajaogopa ya Morogoro
britanicca niliona thread yako kule twita
í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸Sisi tumejifunza namna bora ya kuchota wese bila dhali
hii 4 nimecheka sana.Nanyonya mafuta kwa kuzingatia yafuatayo.
1: nahakikisha nachota mafuta bila kumwagamwaga ovyo.
2: Nahakikisha hakuna chacho chochote cha moyo ama shughuri yoyote inayowezeshwa na moto karibu na tunapochotea wese.
3: Nahakikisha betri haiguswi na kiumbe yeyote kwenye uchotaji. Yaani bora nifungwe kifungo cha maisha kwa kumuua mtu aliyesogelea betri kwenye uchotaji wa wese.
4: Kuhakikisha tunafanya faster kabla police hawajaja maana wanaweza kutusambaratisha kwa mabomu wakatj lile gari ni nuklia tayari
unasemea rusumo na kashalazi mkuu? [emoji618][emoji618]Ila wahangaza kule Ngara - Kagera wana roho ngumu hata wajaogopa ya Morogoro