Uchaguzi 2020 Ukisikia Mgombea Urais 'kalazimika' kuchukua 'Likizo' ya ghafla kuendelea na 'Kampeni' zake unahisi 'kakumbwa' na nini kati ya yafuatayo?

Tarehe 14/09/2020 Tunakiwasha Chato,15/09/ 2020 Tunakiwasha Kagera na Muendelezo wa kutimua vumbi Mikoa ya Kigoma,Tabora,Rukwa,Mbeya nk!
 

Tuliambiwa huko tweetani kwamba jamaaa anaumwa angalieni amevimba usoni. Sasa labda kweli na alijikaza afike kwake akachochee madawa ili aendelee kupambana
 
Nimekutana nae jana uwanja wa ndege jana. Me narudi bongo ye anaondoka.
Binadamu sio watu wazuri, wamemdanganya mzee wa watu now kahaibika. Yaani hata mzee wa ubwabwa anakubalika kuliko yeye.[emoji23][emoji23]
Sivyo , nyota ya Lissu imewaka kuliko yake.
 
Kuna wazo linakuja kwa kujirudia rudia... Hivi mgombea "akitutoka" kipindi cha kampeni inakuwaje???
 
Embu ngoja basi. Andika jambo moja moja ili tuchangie maana unenipasua Kichwa.

Kwani Kuna Nini?
 
kuna jamaa kaniambia anapata mashaka kama yale mafile anasoma usiku, daily
 
Ule wa mwanzo sijui ni kwanini ulifutwa! Nahisi una taarifa fulani kuhusu Bwana yule.

Anyway, tupate ratiba yake tuone kama inaongelea kuwa na mapumziko(break) kipindi hiki.
Hiviii... wakuu nauliza meko ameshapita pale kwenye ilipotokea tetemeko?
Yes KAGERA!😃😃
HAPA aliwambia "katerero nyinyi.. ukimwi nyinyi... tetemeko nyinyi...
Hizi RAMBIRAMBI siwapi zitaenda kufanya mambo mengine😲😲😲😲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…