Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Tarehe 14/09/2020 Tunakiwasha Chato,15/09/ 2020 Tunakiwasha Kagera na Muendelezo wa kutimua vumbi Mikoa ya Kigoma,Tabora,Rukwa,Mbeya nk!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda pumzi imekata na ndiyo maana tumewaomba wastaafu waongeze nguvu kabla mambo hayajaharibika kabisa.
Kama uliliangalia pambano la masumbwi kati ya Dula Mbabe dhidi ya Twaha Kiduku, utaelewa ninachokisema. Dulla Mbabe kabla ya pambano alikua na maneno mengiii!! Alivyoingia ulingoni, akakutana na makonde mfululizo yaliyomfanya mpaka akapoteza pambano.
Tarehe 14/09/2020 Tunakiwasha Chato,15/09/ 2020 Tunakiwasha Kagera na Muendelezo wa kutimua vumbi Mikoa ya Kigoma,Tabora,Rukwa,Mbeya nk!
Utasubiri miaka 60 ijayo labda ndio utaangukaHuhitaji kuukata kwa shoka ili uanguke. Mbona mbuyu huo umeshaoza mizizi, unasubiri upepo tu kuuangusha.
Sivyo , nyota ya Lissu imewaka kuliko yake.Nimekutana nae jana uwanja wa ndege jana. Me narudi bongo ye anaondoka.
Binadamu sio watu wazuri, wamemdanganya mzee wa watu now kahaibika. Yaani hata mzee wa ubwabwa anakubalika kuliko yeye.[emoji23][emoji23]
Ni kweli kwa vioja vyake, tunafahamu, na dunia nzima inafahamu, hata wewe, tindo, mmawia, Salary Slip, Zitto J na wengineo mnafahamu.Sivyo , nyota ya Lissu imewaka kuliko yake.
Wanadai jamaa Ana zaidi ya 100+ million dollars alizoiba enzi za mkwere
Yule mpinzani wake wa karibu anapita bila kupingwa. Hahahha joking tu.Kuna wazo linakuja kwa kujirudia rudia... Hivi mgombea "akitutoka" kipindi cha kampeni inakuwaje???
Kuna wazo linakuja kwa kujirudia rudia... Hivi mgombea "akitutoka" kipindi cha kampeni inakuwaje???
Hiviii... wakuu nauliza meko ameshapita pale kwenye ilipotokea tetemeko?Ule wa mwanzo sijui ni kwanini ulifutwa! Nahisi una taarifa fulani kuhusu Bwana yule.
Anyway, tupate ratiba yake tuone kama inaongelea kuwa na mapumziko(break) kipindi hiki.