Uchaguzi 2020 Ukisikia Mgombea Urais 'kalazimika' kuchukua 'Likizo' ya ghafla kuendelea na 'Kampeni' zake unahisi 'kakumbwa' na nini kati ya yafuatayo?

Uchaguzi 2020 Ukisikia Mgombea Urais 'kalazimika' kuchukua 'Likizo' ya ghafla kuendelea na 'Kampeni' zake unahisi 'kakumbwa' na nini kati ya yafuatayo?

Tarehe 14/09/2020 Tunakiwasha Chato,15/09/ 2020 Tunakiwasha Kagera na Muendelezo wa kutimua vumbi Mikoa ya Kigoma,Tabora,Rukwa,Mbeya nk!
 
Huenda pumzi imekata na ndiyo maana tumewaomba wastaafu waongeze nguvu kabla mambo hayajaharibika kabisa.

Kama uliliangalia pambano la masumbwi kati ya Dula Mbabe dhidi ya Twaha Kiduku, utaelewa ninachokisema. Dulla Mbabe kabla ya pambano alikua na maneno mengiii!! Alivyoingia ulingoni, akakutana na makonde mfululizo yaliyomfanya mpaka akapoteza pambano.

Tuliambiwa huko tweetani kwamba jamaaa anaumwa angalieni amevimba usoni. Sasa labda kweli na alijikaza afike kwake akachochee madawa ili aendelee kupambana
 
Nimekutana nae jana uwanja wa ndege jana. Me narudi bongo ye anaondoka.
Binadamu sio watu wazuri, wamemdanganya mzee wa watu now kahaibika. Yaani hata mzee wa ubwabwa anakubalika kuliko yeye.[emoji23][emoji23]
Sivyo , nyota ya Lissu imewaka kuliko yake.
 
Uroho wa madaraka watakuja fia mikutanoni .
IMG_20200912_150411.jpg
 
Kuna wazo linakuja kwa kujirudia rudia... Hivi mgombea "akitutoka" kipindi cha kampeni inakuwaje???
 
Embu ngoja basi. Andika jambo moja moja ili tuchangie maana unenipasua Kichwa.

Kwani Kuna Nini?
 
kuna jamaa kaniambia anapata mashaka kama yale mafile anasoma usiku, daily
 
Ule wa mwanzo sijui ni kwanini ulifutwa! Nahisi una taarifa fulani kuhusu Bwana yule.

Anyway, tupate ratiba yake tuone kama inaongelea kuwa na mapumziko(break) kipindi hiki.
Hiviii... wakuu nauliza meko ameshapita pale kwenye ilipotokea tetemeko?
Yes KAGERA!😃😃
HAPA aliwambia "katerero nyinyi.. ukimwi nyinyi... tetemeko nyinyi...
Hizi RAMBIRAMBI siwapi zitaenda kufanya mambo mengine😲😲😲😲
 
Back
Top Bottom