mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Wewe je, utafanya nini?Mimi Nikulipe mshahara,posho,nyumba,mafuta ya gari na bado umtangaze mpinzani ni mshindi?hiiiiiiiiiìiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe je, utafanya nini?Mimi Nikulipe mshahara,posho,nyumba,mafuta ya gari na bado umtangaze mpinzani ni mshindi?hiiiiiiiiiìiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Khs nini?Wewe je, utafanya nini?
Soma ratiba ya tume inaonyesha JPM atakuwa off hadi tarehe 14/9 kweli Chadema majanga matupu, yaani hata ratiba ya tume hamnayo.PeoplessdsddddYes itakuwa kuna jambo ndio maana wamefanya press leo ku cover vacuum
Aaagh kweli ?!!Wanadai jamaa Ana zaidi ya 100+ million dollars alizoiba enzi za mkwere
Ule wa mwanzo sijui ni kwanini ulifutwa! Nahisi una taarifa fulani kuhusu Bwana yule.
Anyway, tupate ratiba yake tuone kama inaongelea kuwa na mapumziko(break) kipindi hiki.
Loooh Kumbeee😁😁Ndio kaenda kufanya mkakati wa kuzileta , ndo mana juzi alichimba mkwara kwamba kuanzia tareh 15 kimbunga kinaanza , ngoja azilete tuzidake juu Kwa juu
Yaani😂😂😂Soma ratiba ya tume inaonyesha JPM atakuwa off hadi tarehe 14/9 kweli Chadema majanga matupu, yaani hata ratiba ya tume hamnayo.Peoplessdsdddd
😁😁😁Sasa mtu una hela zote hizo kwa nini usumbuke.
Mkuu tindo ebu tumia jicho lako la tatu kutambua athali za Membe kukacha kampeni (kama ni kweli) kwa wagombea wa upinzani. Yawezekana hata Lissu akishindwa, atawaingiza WaTz wasio na kosa barabarani wakati yeye, huyooo Ughaibuni.
USALITI HAUJAMWACHA MTU SALAMA.
Hivi Mnamchukulia BCM ni mtu asiyejua AFANYACHO eeee?!!!Kama ni kweli kaenda nje kufata huo "mzigo" na kama hajui nini itakua hatima ya huo "mzigo" pindi utakapoingia Bongo basi hafai wala hastahili japo kuitwa afisa kificho bobezi
Acha wivu, katafute zakoHuyo kafata hela za kampeni , tunamumulika kisawa Sawa akizileta tunazipiga pini [emoji23]
NDIO😁😁😁
Kwa Hiyo TAL anatafuta HELA?!!
Huyu mtu mnamvyofikiria nyinyi tofauti na anavyoonekana Mbele ya MUNGU ni tofauti na nyinyi wanadamu mnavyomuona.
😂😂 Sawa MkuuNDIO
Mkuu wewe uko kwa Mungu?
[/QUO
Atakuwa Ni Msaidizi Wa MUNGU.....😂😂
Mimi Huwa Niko Makini Sana Na Watu Watamjao MUNGU Sanaaa....
Huwa Ninawaangaliaaaaaaa na Kuwasikiliza Weeeeeeeee...
Hatari
Kusini wanajambo lao.Kwamba kampisha kikwete amalize kule kusini wasigongane,
Jitekenye na kucheka mwenyewe sisi ni serikali.Je,
1. Pumzi yake imeshakata mapema na sasa Pumzi pekee tu iliyobakia ni ya Hasira ( Jazba ) na kutoa Maneno ya Kashfa na Ajabu?
2. Mpaka hapo alipofikia kufanya Kampeni zake ameshaona kuwa ameshinda kutokana na Nyomi alilokuwa akiliona kote alikopita?
3. Anaona Waganga wa Kienyeji waliompa Ndumba za Kimvuto wamekosea na sasa ndiyo anachukiwa tu zaidi?
4. Anataka kuwaita wale waliomdanganya kwa Kumuaminisha kuwa anakubalika ili awachape Viboko na ikibidi hata awapige Ngumi?
5. Ameshagundua kuwa anaenda Kushindwa hivyo anataka kufanya Mazungumzo ya Kisirisiri na Adui yake waunde Serikali Moja?
6. Anataka Kurudi kwa Mizimu yake ya Mababu na Mabibi akawambe Radhi kwani anaona Maji sasa yanazidi kabisa Unga?
7. Anataka Kuigilizia ( kupiga Chabo ) Kampeni za Wenzake hasa Mshindani wake Mkuu ili aje na Mkakati mpya Kumpiku Kisiasa?
Karibuni katika kutoa Majibu yenu sahihi tafadhali.
Pengine atatangaza mapinduzi akiwa njeKimbunga KUMBA KUMBAAA kimempitia