Uchaguzi 2020 Ukisikia Mgombea Urais 'kalazimika' kuchukua 'Likizo' ya ghafla kuendelea na 'Kampeni' zake unahisi 'kakumbwa' na nini kati ya yafuatayo?

Uchaguzi 2020 Ukisikia Mgombea Urais 'kalazimika' kuchukua 'Likizo' ya ghafla kuendelea na 'Kampeni' zake unahisi 'kakumbwa' na nini kati ya yafuatayo?

Ndio kaenda kufanya mkakati wa kuzileta , ndo mana juzi alichimba mkwara kwamba kuanzia tareh 15 kimbunga kinaanza , ngoja azilete tuzidake juu Kwa juu
Loooh Kumbeee😁😁

Acha Kumsingizia Bwanaweweee😂
 
kuna watu humu walikuwa wanaendesha campaini ya kazi na bata[emoji16][emoji16][emoji16].sijui walikuwa wanawaza kitu gani.

mbaya zaidi ndio hao saa hizi wako na lissu.
 
Mkuu tindo ebu tumia jicho lako la tatu kutambua athali za Membe kukacha kampeni (kama ni kweli) kwa wagombea wa upinzani. Yawezekana hata Lissu akishindwa, atawaingiza WaTz wasio na kosa barabarani wakati yeye, huyooo Ughaibuni.

USALITI HAUJAMWACHA MTU SALAMA.

Ulichoongea imebidi hata nicheke tu. Kwanza Membe sio mpinzani, halafu nahusisha na hiyo hata Lisu akishindwa atawaingiza watu barabarani, halafu yeye huyo ughaibuni. Sioni reletion yoyote ya hii hadithi yako. Hivi mnadhani humu jukwaani tumejaa vibuyu watupu ambao hatuna uwezo wa kupembua mambo? Huenda ukawa na hoja ila unakosa maneno sahihi ya kuziwasilisha.
 
Nimajitu majinga kupindukia ndiyo yanaweza kubeza upinzani na harakati wanazofanya.
1. Wanashindana kwenye mazingira yakutishwa,kufungwa,kuhujumiwa kiuchumi, kubaguliwa, chuki za wazi,kupigwa risasi nk.
2. Wanashindana kwenye mazingira magumu kifedha,tume yenyeupande, wananchi waliotishwa nk.
3. Vyombo vya habari vinawakimbia,vinatoshwa na faini,kusimamishwa shughuli za sausage miss mrefu nk.
ukiwa timamu utajua hawakupaswa hata kuexist maana walishatabiriwa kumalizwa na kutokomezwa!!
Historia itatuambia maana ukandamizaji ukizidi, presha huwakubwa namwishowe wenye akili wanajua matokeo huwaje.
sera za elimu bure,kupinga mafisadi nk. zilienezwa Sana na wapinzani nasasa ndiyo zinatekelezwa japo sio kiufasaha, nimuhimu kujua upinzani umetusaidia sana kama taifa nabado utatusaidia huko tuendako.
 
Kama ni kweli kaenda nje kufata huo "mzigo" na kama hajui nini itakua hatima ya huo "mzigo" pindi utakapoingia Bongo basi hafai wala hastahili japo kuitwa afisa kificho bobezi
Hivi Mnamchukulia BCM ni mtu asiyejua AFANYACHO eeee?!!!

Nina Imani kuwa HAELEWEKI vyema hata na WANAOELEWA....

Kwa Mtu Makini Ni kubaki tu kumuangalia MOVE Zake halafu UJE kusema KIWELEDI mwishoni huko....
 
Mkuu wewe uko kwa Mungu?
[/QUO

Atakuwa Ni Msaidizi Wa MUNGU.....😂😂

Mimi Huwa Niko Makini Sana Na Watu Watamjao MUNGU Sanaaa....

Huwa Ninawaangaliaaaaaaa na Kuwasikiliza Weeeeeeeee...

Hatari
 
Je,

1. Pumzi yake imeshakata mapema na sasa Pumzi pekee tu iliyobakia ni ya Hasira ( Jazba ) na kutoa Maneno ya Kashfa na Ajabu?
2. Mpaka hapo alipofikia kufanya Kampeni zake ameshaona kuwa ameshinda kutokana na Nyomi alilokuwa akiliona kote alikopita?
3. Anaona Waganga wa Kienyeji waliompa Ndumba za Kimvuto wamekosea na sasa ndiyo anachukiwa tu zaidi?
4. Anataka kuwaita wale waliomdanganya kwa Kumuaminisha kuwa anakubalika ili awachape Viboko na ikibidi hata awapige Ngumi?
5. Ameshagundua kuwa anaenda Kushindwa hivyo anataka kufanya Mazungumzo ya Kisirisiri na Adui yake waunde Serikali Moja?
6. Anataka Kurudi kwa Mizimu yake ya Mababu na Mabibi akawambe Radhi kwani anaona Maji sasa yanazidi kabisa Unga?
7. Anataka Kuigilizia ( kupiga Chabo ) Kampeni za Wenzake hasa Mshindani wake Mkuu ili aje na Mkakati mpya Kumpiku Kisiasa?

Karibuni katika kutoa Majibu yenu sahihi tafadhali.
Jitekenye na kucheka mwenyewe sisi ni serikali.
 
Back
Top Bottom