Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
Kichwa kinajieleza
Wakuu hivi. Ukisikia yule Ana Roho mbaya
Wewe huwa. Unaelewa nini..?
Wakuu hivi. Ukisikia yule Ana Roho mbaya
Wewe huwa. Unaelewa nini..?
Nafikiri ni mtu asiyependa sio asiyeweza.Mtu asiyeweza kusaidia ndugu,jamaa na marafiki
mi nadhani ni dhana potofu ambayo mtu moja anaijenga dhidi ya mtu mwingine alietofautiana nae maoni, makubaliano, mapendekezo au mtazamo dhidi ya jambo fulani la kijamii, kisiasa au kiuchumiKichwa kinajieleza
Wakuu hivi. Ukisikia yule Ana Roho mbaya
Wewe huwa. Unaelewa nini..?
Najua unaongelea kinyume chake.The Icebreaker ana roho mbaya sana huu ni moja ya mfano naomba tusichanganye mambo
Wanaroho mbaya.Mademu wanaokula nauli halafu hawatokei
Kula nauli na usitokee hiyo ni roho mbaya au wewe akikufanyia hivyo huoni shida?Wanaroho mbaya.