Ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu

Zero Competition

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
347
Reaction score
553
Katika nyakati hizi ngumu tulizonazo, mwanamke ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu.

Sio kama nahamasisha uzinzi nje ya ndoa lahasha ila tambua kwamba kuna baadhi ya wanaume wameoa na wana watoto wamepata na wake zao lakini wanaume hao hao wakitoka kwenye nyumba zao ni wake za watu.

Hii kitaalamu tunaita "bisexual" yani mwanaume anakula na kuliwa at the same time.

Dunia kwasasa imeharibika sana ndio maana ukisikia mume wako ana mwanamke mwingine nje shukuru Mungu kuliko kusikia mume wako kumbe nae ni mke wa mtu.

Ni hayo tu
 
Ni bora ungewashauri kwamba wakiskia waume zao wameoa wake wenza washukuru, tena ikiwezekana wake hao wajuane, washirikiane kwa ajili ya mume wao ili asichepuke. Yaani mume akiwa kwa bibi mkubwa mdogo nae ajue, na akiwa kwa bibi mdogo mkubwa nae ajue.

Ila hata hili linafikirisha sana, si kwa kuambiwa nilishakutana na ishu kama hii, Mzee kabisa ana mke na watoto wakubwa tu, akiwa kwake mkali sana juu ya mkewe na watoto lakini akitoka kwake alikuwa analilia Mkuyenge wa mwanaume mwenziwe. Hali ni mbaya kwa kweli.
 
Mimi nafikiri wewe mwanamke ukimfumania mme wako anachepuka na mwamke mwingine, unatakiwa ujiulize umekosea wapi mpaka mumeo ameenda kulala na mwanamke mwingine nje ilihali wewe upo ndani

Natafuta Ajira au nasema uongo afisa mwandamizi? Hivi si ndivyo jinsi jamii yetu iliyostarabika inavyofikiri?
Mara nyingi wanaume hata tukiwa na vizuri nyumbani huwa tuna ile kawaida ya kupenda nusu nusu chochote kinachojitokeza mbele yetu (Kuendeshwa na matamanio) Lakini bado tukirudi nyumbani haiondoi upendo wetu kwa wake zetu. (Moyo wa mwanaume unaweza kupenda nusu nusu zaidi ya mara 20).
 
downloadfile-1.png
 
Katika nyakati hizi ngumu tulizonazo, mwanamke ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu.

Sio kama nahamasisha uzinzi nje ya ndoa lahasha ila tambua kwamba kuna baadhi ya wanaume wameoa na wana watoto wamepata na wake zao lakini wanaume hao hao wakitoka kwenye nyumba zao ni wake za watu.

Hii kitaalamu tunaita "bisexual" yani mwanaume anakula na kuliwa at the same time.

Dunia kwasasa imeharibika sana ndio maana ukisikia mume wako ana mwanamke mwingine nje shukuru Mungu kuliko kusikia mume wako kumbe nae ni mke wa mtu.

Ni hayo tu
Haya mambo mnayakuza sana
 
Back
Top Bottom