Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
hisia.Huku Profesa na ngumbaru wote ni sawa.
Mhutubu na Maamuma wote ni sawa,Mpumbavu na Mwerevu ni sawa.
Huku hakuna anayesingizia kwamba TLS hajafanya hili,au sijui Emmaus Bandekile Mwamakula au Father John Kitima hajafanya hili wala Bishop Kalikawe Lwakalinda Bagonza hajasema hili au Baba Askofu Emeritius Stephen Munga
Huku kila mtu anaweza, anachambua, anatukana anabagaza.Huku hata asiye jua kizungu anafahamu kanuni na mazoeya ya FIFA na CAF. Ni kama vile watu wana hasira fulani na wanatafuta pa kupumulia.
I WISH uenda wazimu huu ungetumika kuhoji mambo ya Msingi kama Kupotea kwa watu,Katiba Mpya au maboresho ya Katiba ,Kuwe na Uchaguzi au kusiwe na uchaguzi, Uwekezaji na Maslahi ya Taifa, Suala la Ajira kwa vijana.Sintofahamu katika chaguzi zetu uwajibikaji wa Vyombo vya maamuzi nk.
KUMBE kwenye Mambo yasiyo ya Msingi tunamsimamo na tunajiapiza kila Mmoja akiita vyombo vya habari!? It is well and good hebu sasa tufanye haya kwenye mambo ya Msingi pia kama tunavyo fanya kwenye haya yasiyo ya msingi.