Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Pamoja sanaMchizi wangu remix
Nasema hakuna wimbo bora wa hip hop utakaokuja kuisogelea.Wanangu wa Hip hop naweka mtanange hapa, kati ya hizi collabo mbili zilizo umiza kipindi hicho. ipi ni collabo kali ?
Ukisikia paah ya JCB original + Remix
VS
Mchizi wangu ya Nako2Nako original + Remix
Nataka kuona collabo itakayo ibuka kidedea hapa
Pamoja sanaNasema hakuna wimbo bora wa hip hop utakaokuja kuisogelea.
Mchizi wangu Remix
Chorus ya kibabe ileMchizi wangu hasa remix bado sijaona mpinzani wake
We we we wee ndio mchizi waaangu π₯π₯π₯ππ
paah vs mimiUkisikia Paah vs Mimi ndio zinafaa kupambanishwa